Trending Stories
View All
MENEJA WA MANCHESTER CITY AWEKA REKODI YA AINA YAKE
PEP Guardiola, Meneja wa Manchester City amekuwa wa kwanza msimu huu kuonyeshwa kadi ya njano kwa mameneja ambao wanafundisha Ligi…
NYOTA STARS: INAWEZEKANA KUPATA USHINDI LEO MBELE YA KENYA
BAKARI Malima ‘Jembe Ulaya’ ambaye ni nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo amezungumza na…
PEPE AAMBIWA AMEBUGI KUTUA ARSENAL KWA SASA
CHRISTOPHER Galtier, Meneja wa Lille amesema kuwa ameshangazwa na kitendo cha nyota wa kikosi hicho Nicolas Pepe kujiunga na Arsenal.Meneja…
JESHI LA TAIFA STARS LITAKALOKIPIGA LEO DHIDI YA KENYA KUFUZU CHAN
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kitakachoanza leo dhidi ya Kenya kufunzu Chan.
KIKOSI CHA TANZANITE KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA ESWATINI, COSAFA
KIKOSI cha Tanzanite kitakachoanza leo dhidi ya Eswatini COSAFA
SIMBA YAZIDI KUPAMBA MOTO, LEO WACHEZAJI KUPIGA PICHA NA MASHABIKI
WACHEZAJI wa Simba leo watapiga picha na mashabiki wao ambao wamenunua tikite za Platinum Plus pamoja na zile za Platinum…
ASHLEY YOUNG APEWA KITAMBAA CHA UNAHODHA UNITED
OLE Gunnar Solskjaer, Meneja wa Manchester United amechagua jina la Ashley Young mwenye umri wa miaka 34 kuwa nahodha wa…
WAYNE ROONEY AITAKA MIKOBA YA OLE GUNARR NDANI YA MANCHESTER UNITED
WAYNE Rooney, nyota wa zamani wa Manchester United amesema kuwa malengo yake makubwa ni kuja kuwa Kocha wa kikosi cha…
YANGA WAZIDI KUMIMINIKA TAIFA, HILO NYOMI KAMA LOTE LEO
MASHABIKI wa Yanga wanazidi kujitokeza kwa wingi leo uwanja wa Taifa kwa ajili ya kushuhudia burudani maalumu.Leo Yanga inahitimisha rasmi…
BEKI KISIKI WA SIMBA KUTIMKIA MOROCCO
INAELEZWA kuwa beki wa timu ya Simba, Juuko Murshid yupo mbioni kujiunga na klabu ya Wydad Casablanca kwa kandarasi ya…
NDAYIRAGIJE ABEBA MATUMAINI YA WATANZANIA, APANIA KUFANYA MAAJABU MBELE YA KENYA
ETTIENE Ndayiragije, Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania,amesema katika mchezo wa leo wa marudiano kufuzu fainali za…
SAMATTA AFUNGUA AKAUNTI MPYA YA MABAO UBELGIJI
LICHA ya timu yake kupoteza kwa kufungwa mabao 3-1 na timu ya Kv Muchelen bado Mbwana Samatta alicheka na nyavu.Samatta…
YANGA YAMWAGA MAWAKALA MIA UWANJA WA TAIFA KWA AJILI YA MASHABIKI
DISMAS Ten, Kaimu Katibu wa Yanga amesema kuwa mashabiki wasiwe na mashaka juu ya kilele cha Mwananchi mipango imekamilika.Kwa upande…
LEO UTAKUWA WAPI MAANA MECHI ZOTE KALI ZIPO NAMNA HII, CHEKI RATIBA
COSAFATanzania (Tanzanite) v Eswatin, saa 9:00.Kufuzu CHAN 2020.Kenya vs Tanzania, saa 10:00.Wiki ya WananchiYanga vs Kariobang Sharks, saa 10:00.Ngao ya…
SABABU YA SANCHEZ KUBUMA MANCHESTER UNITED YATAJWA
ROBIN Van Persie, mshambuliaji wa zamani wa Manchester United amesema kuwa Alexis Sanchez hana furaha ndani ya Manchester United.Sanchez amejiunga…
TAIFA KUMEANZA KUNOGA, HISTORA MPYA KUANDIKWA LEO
LEO ni kilele cha SportPesawikiyaMwananchi uwanja wa Taifa ambapo tayari mashabiki wameanza kujitokeza kwa wingi.Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa…