Trending Stories
View All
YANGA NOMA, YAMALIZANA NA MAJEMBE TISA FASTA, LISTI YAO KAMILI HII HAPA
UNAAMBIWA Yanga si ya mchezomchezo kwani hawataki kabisa utani, mpaka sasa tayari wamemalizana na majembe makali tisa ambayo ni chaguo…
MASHINE HIZI 6 SIMBA UHAKIKA, MABOSI WAMEMALIZANA NAO KILA KITU
HOMA ya Usajili ndani ya Ligi Kigi Kuu Bara inazidi kupanda huku vikumbo vikiongezeka kwa kila timu kuhitaji kufikia malengo…
MANARA AWACHANA YANGA BALAA KISA BALINYA, ‘HANA LEVO YA KUCHEZA SIMBA’
Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, juu ya taarifa za timu yao kudaiwa kumtaka Juma Balinya.
IMEVUJA!! SIRI NYINGINE YAFICHUKA MGANDA WA SIMBA ALIVYOTUA YANGA
BAADA ya Yanga juzi Jumamosi kutikisha katika usajili kwa kumsajili mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Uganda, Juma Balinya ambaye…
BALINYA: OKWI AMENILETA YANGA
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Juma Balinya raia wa Uganda amefunguka kwamba moja ya watu ambao wamechangia yeye kutua Yanga ni…
KMC YAZIMA MAZIMA NDOTO ZA YANGA, SI MCHEZO
UONGOZI wa KMC umezima ndoto za Yanga baada ya kuwaongezea mikataba nyota wake wawili Charles Hassan Kabunda pamoja na Charles…
KAZI IMEANZA AZAM FC, YAMCHOMOA WINGA MATATA MBEYA CITY
Idd Seleman ‘Nado’,amesajiliwa na Azam FC kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea Mbeya City.Nado amesaini mkataba huo mbele ya Ofisa…
YANGA YAKAMILISHA ASILIMIA 90 YA USAJILI WA ZAHERA,
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa umekamilisha mchakato wa usajili wa wachezaji wake kwa asilimia 90 kutokana na maagizo ya…
PASIPOTI YAMZUIA AIYEE KWENDA SWEDEN
STRAIKA wa Mwadui Salim Aiyee ameshindwa kwenda nchini Sweden baada ya Pasipoti yake kutokukamilika kwa wakati.Aiyee alitakiwa kusafiri Juni 15,…
MAMBO MAWILI MAKUU YALIYOWAFANYA SIMBA WAMALIZANE NA KAGERE CHAPCHAP
Uamuzi wa Simba kumuongezea mshambuliaji wake Meddie Kagere miakaMiwili umeelezwa umtokana na mambo mawili makubwa.MOJA:Ni baada ya Kagere raia wa…
WEMA SEPETU ASWEKWA NDANI HADI JUNI 24
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemwamuru msanii wa filamu nchini na Miss Tanzania wa mwaka 2006,…
TAIFA STARS INAHITAJI MICHANGO, MWAKYEMBE AFUNGUKA – VIDEO
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe, amewaomba Watanzania kuichangia Timu ya Taifa (Taifa Stars) ambayo ipo…
SIKU YA KUMTAMBULISHA AJIBU SIMBA YATANGAZWA
TIMU ya Simba inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki Juni 21, mwaka huu dhidi ya timu ya Gwambina FC, ambapo Mchezo…
SIMBA YAAGIZA STRAIKA WA KIMATAIFA
MAMBO ni moto Simba! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuingia msituni kutafuta bonge la Straika…
KOCHA WA SADIO MANE ATOA KAULI YA KIBABE KWA STARS
KOCHA wa timu ya Taifa ya Senegal, Aliou Cisse amesema kuwa nyota wake Sadio Mane ataukosa mchezo wa kwanza wa…