KOCHA SPURS ANATAJWA KUWEKWA KWENYE HESABU ZA KUFUTWA, ATOA KAULI YA KISHUJAA

0
 JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Spurs amesema kuwa licha ya mambo kuwa magumu ndani ya kikosi hicho bado hajakata tamaa.Mreno huyo amesema kuwa wataendelea...

POLISI TANZANIA HESABU ZAO MZUNGUKO WA PILI HIZI HAPA

0
UONGOZI wa Polisi Tanzania umesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mzunguko wa pili ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.Polisi Tanzania inanolewa na...

DK MSOLLA ANAKUMBUSHWA MAKOSA WAKATI AKIWA PEMBENI YA USUKANI….

0
  Na Saleh AllyMOJA ya sifa kubwa za wapenda mpira ni kutokuwa wakweli, kutopenda kuelezana ukweli na kupendelea kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa!Bahati...

MTAMBO WA MABAO KAGERA SUGAR WAPANIA KUFANYA VIZURI

0
YUSUPH Mhilu, nyota anayecheza ndani ya Kagera Sugar amesema kuwa bado wana kazi ya kuendelea kupambana ndani ya uwanja ili kupata ushindi ndani ya...

KUWENI MAKINI, SPORTPESA NA WENZAO WASIWAKIMBIE…

0
 Na Saleh AllyKUENDESHA timu ya mpira na ikawa makini si jambo dogo hata kidogo na kiwango kikubwa cha fedha kinatakiwa.Kiwango cha fedha pamoja na...

SIMBA WAJA NA POINTI OF NO RETURN KUWAKABILI WAARABU

0
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kuelekea kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya Al Ahly, Waarabu wa...

KMC YAZITAKA POINTI TATU ZA KAGERA SUGAR

0
Mara baada ya kuibuka na ushindi wa magoli mawili kwa moja dhidi ya Mwadui FC, Timu ya KMC FC kwa mara nyingine itashuka dimbani...

SIMBA WAFICHUA MBINU YA KUWAMALIZA WAARABU KWA MKAPA

0
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa una mbinu mpya na kali ambayo wanaamini kwamba itawarahisishia kupata ushindi kwenye mchezo wao wa kimataifa, kwenye Ligi...

SAKATA LA MORRISON LAIBUKA UPYA, YANGA WADAI WANAONEWA

0
 UONGOZI wa Yanga umesema kuwa hautendewi haki kwenye masuala yao tofauti na wengine namna ambavyo wanafanyiwa ikiwa ni pamoja na sakata la mchezaji wao...

YACOUBA : SIMBA SC NDIYO ILIYONIFANYA NIKATUA YANGA SC

0
UNAPOMTAJA Yacouba Songne, ni mmoja wa silaha kubwa katika safu ya ushambuliaji ya Yanga na katika mechi 17 zilizoiweka Wanajangwani hao kileleni mwa msimamo...