Trending Stories
View All
SIMBA NA KIBU WAFIKIA MAKUBALIANO…KILA KITU YENTE
MABOSI wa Mnyama kwa sasa wanasikilizia tu dili la nyota wa timu hiyo, Kibu Denis aliyepo Norway kwa sasa akimalizana…
PACOME KUIMALIZA KAIZER CHIEF…YANGA VS KAIZER KESHO
BAADA ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua kupewa siku tano kushughulikia pasipoti yake kabla ya kuungana na wenzake kambini…
MAANA YA NENO SANDA…KWENYE JEZI MPYA ZA SIMBA
SABABU ya jezi za Simba kuandikwa neno Sanda zimeelezwa,wahusika wamewatoa hofu waliozitafsiri vinginevyo, kutambua kwamba ni ubunifu walioamua kuja nao…
MCHEZO WA AVIATOR NA SUPER HELI INAKUPA MDUNDO WA JBL MPYAA….
Hawa ndio wakali wa kasino, unapofikria kufanya Unyama wa kutosha kwa kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni, basi kimbilio ni…
IJUMAA YAKO NI TAMU UKIBASHIRI NA MERIDIANBET…
Mabingwa wa ODDS KUBWA Meridianbet wanakukaribisha ubashiri mechi za kirafiki ambazo zinaendelea ambapo hapa unaweza ukabashiri machaguo uyapendayo mechi zote.…
KIPA SIMBA APUNGUZA PRESHA…AWATULIZA MASHABIKI
SIKU chache baada ya taarifa ya Mlinda Mlango namba moja wa klabu ya Simba, Ayoub Lakred kuripotiwa kuumia na kutarajiwa…
INSHU YA KIBU SIMBA YATAKA BIL 2…MWENYEWE AMKATAA MWANASHERIA WAKE
BAADA ya Winga mtorokaji Kibu Denis kumkana Mwanasheria wake Rashid Yazid kwa kusema hamtambui, ila anayemtambua ni Meneja wake Carlos…
YANGA YAJIPANGA KUIPASUA KAIZER CHIEF…GAMONDI ATOA NENO
MABINGWA Mara 30 wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2023/24 Yanga wapo tayari kuwakabili Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini…
FADLU BADO ANALISUKA JESHI LA SIMBA…MSIKIE MOGELLA.
Licha ya kupiga tizi la maana ni kwamba hadi sasa Kocha wa Simba Fadlu Davids bado hajakipata kikosi cha kwanza…
AHMED ALLY…UBAYA UBWELA HADI AGOSTI 8..SIMBA NA YANGA
BAADA ya Kutambulisha jezi mpya za Ubaya Ubwela wa Simba uliozinduliwa Julai 24 ukizidi kuwa gumzo kila kona kutokana na…
SIMBA YATANGAZA CEO MPYA…CV YAKE NI BALAA
Uongozi wa Simba umemtangaza Uwayezu Francois Regis raia wa Rwanda kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, akichukuwa nafasi ya…
AUCHO ATUPO DONGO…KISA TUZO ZA TFF
Baada ya kukosekana katika kinyang’anyiro cha Kiungo Bora, kiungo wa Yanga SC Khalid Aucho ni kama ametema nyongo kwa kuandika…
SIMBA WARUDI NA MIL 600 TZ KUMPATA MPANZU
INAELEZWA kuwa Mabosi wa Simba wamerudi tena kwa mara nyingine wakifosi zaidi kuinasa ya mchezaji wa AS Vita Elie Mpanzu.…
SIMBA YAIGALAGAZA YANGA KWA KIUNGO HUYU
BAADA ya watani wa jadi kugombania saini ya kiungo wa JKT Queens, Amina Bilal hatimaye Simba Queens imefanikiwa kuizidi akili…
GAMONDI AWAFAGILIA DUBE NA BALEKE
KOCHA Miguel Gamondi anashindwa kujizuia na kuchekelea kimtindo namna washambuliaji wapya wa timu, Prince Dube na Jean Baleke walivyoanza maisha…
MGUNDA AIWAZA FAINALI CAF…SIMBA WASHINDWE WAO TU
Droo ya makundi ya Klabu Bingwa kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) imefanyika juzi, huku wawakilishi…