TWAHA KIDUKU: NGUMI ZANGU ZINAUMA
BONDIA wa ngumi za kulipwa Twaha Rubaha ‘Twaha Kiduku’ Kiduku amefunguka kuwa mazoezi magumu ambayo amekuwa akiyafanya kabla ya mapambano ndiyo sababu kubwa ya...
KOCHA AIPELEKA SIMBA NUSU FAINALI AFRIKA
KOCHA mkuu wa klabu ya Simba, Didier Gomes Da Rosa amefunguka kuwa, ana matumaini makubwa ya kukiongoza kikosi hicho kufika hatua ya nusu fainali...
YANGA YAJIVUNIA KOMBE LA MAPINDUZI, KUONGOZA LIGI
UONGOZI wa klabu ya Yanga umesema unajivunia mafanikio makubwa waliyoyapata msimu huu kwa kutwaa taji la kombe la Mapinduzi, pamoja na kuongoza msimamo wa...
MITAMBO HII YA MABAO NI MWENDO WA NNENNE
NAMBA nne ndani ya Ligi Kuu Bara, msimu wa 2020/21 imekuwa ni pendwa kwa wachezaji wengi ambao wamefungua akaunti zao za mabao.Wangu wametupia mabao...
GOMES APIGA HESABU KUPUNGUZA DENI LA POINTI ZA YANGA
IKIWA leo anatarajia kuiongoza timu ya Simba kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Bara, Didier Gomes amesema kuwa utakuwa mchezo mgumu ndani ya...
AZAM FC :MECHI ZA YANGA NA SIMBA NI PRESHA,ILA HATUNA HOFU
GEORGE Lwandamina, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba utakuwa na presha kubwa ila ataingia...
WAKALI WA KUCHEKA NA NYAVU BONGO HAWA HAPA
WAKATI leo Februari 4 mechi mbili zikitarajiwa kuchezwa ambazo ni za viporo vya mzunguko wa kwanza kuna ushindani pia Kwenye upande wa utupiaji wa...
HIZI HAPA LEO ZA LIGI KUU BARA ZITACHEZWA
LEO Februari 4, 2021 viwanja viwili vitakuwa na kazi ya kuhimili vishindo vya Wanaume 44 ambapo kila kiwanja kitakuwa na kazi ya kuhimili vishindo ...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
KOCHA SIMBA :- HAO AZAM NA DODOMA MJI WAJIANDAE NA KIPIGO CHA ‘KUCHAKAA’
KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes, ametamba kwamba sasa wako tayari kwa ajili ya kutafuta matokeo mazuri kwenye mechi zao za viporo ndani...