SABABU YA YANGA KUFUNGIWA NA FIFA HII HAPA

0
IMEELEZWA kuwa Klabu ya Yanga imefungiwa na FIFA kufanya usajili wa miaka mitatu kutokana na madai ya kutomlipa fedha za usajili pamoja na mshahara...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0
 MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano 

USIPANGE KUKOSA KESHO KUJIPATIA NAKALA YA CHAMPIONI JUMATANO

0
USIKOSE kujipatia Nakala ya Gazeti la Championi Jumatano kesho

AZAM FC YATOSHANA NGUVU NA TP MAZEMBE, AZAM COMPLEX

0
 MCHEZO wa kirafiki kati ya Azam FC dhidi ya TP Mazembe leo Februari 2,2021 umekamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1.Azam FC inayonolewa na...

SENZO : HIZI NDIO SABABU ZA YANGA MEDIA DAY

0
Mshauri wa uongozi wa Yanga, Senzo Mazingisa ametaja sababu tatu za klabu yao kuandaa siku maalum ya vyombo vya habari katika kambi yao.Senzo amesema...

JONAS MKUDE AREJEA MAZOEZINI BAADA YA KUKOSA MECHI NANE

0
 HATIMAYE Jonas Mkude amerejea kikosini kuungana na wachezaji wenzake baada ya kumaliza kuitumikia adhabu yake kutokana na utovu wa nidhamu.Mkude leo Februari 2 ameanza...

YANGA WATAJA SABABU ZA MWANANCHI MEDIA DAY

0
 MSHAURI ndani ya Klabu ya Yanga kuelekea kwenye mfumo wa mabadiliko, Senzo Mazingisa leo Feburuari 2, 2021 ametaja sababu tatu za klabu yao kuandaa...

JESHI LA KLABU YA AZAM DHIDI YA TP MAZEMBE LEO

0
HIKI hapa kikosi cha klabu ya Azam kitakachocheza mchezo wa kirafiki dhidi ya klabu ya TP Mazembe, mchezop huo utapigwa kwenye uwanja wa Azam...

MATUKIO KATIKA PICHA KINACHOENDELEA KWENYE KAMBI YA YANGA (MWANANCHI MEDIA DAY)

0
KLABU ya soka ya yanga leo imezindua tukio kubwa la ‘Mwananchi Media Day’ ambalo linalenga kuwapa fursa wanahabari kukutana ana kwa ana na wachezaji,...

LEO NI SIKU YA KUMBUKIZI YA KULETWA DUNIANI JEMBE

0
 ANAANDIKA Saleh JembeMaisha ni msaada na zawadi kubwa kutoka kwa Mungu.LEO NI SIKU YANGU YA KUZALIWA...Nipo ndani ya wale wanaostahili kupokea zawadi kutoka kwa...