JKT TANZANIA KUCHEZA MECHI TATU ZA KIRAFIKI
KOCHA Mkuu wa Klabu ya JKT Tanzania Abdalah Mohamed,'Bares' amesema kuwa kwa sasa kikosi hicho kinaendelea na maandalizi kwa ajili ya mechi za Ligi...
KMC YAIPIGA MKWARA AZAM FC, YATAMBA KUITEMBEZEA PIRA SPANA
CHRISTINA Mwagala, Ofisa Habari wa Klabu ya KMC amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya kuzilamba Ice Cream za wapinzani wao Azam FC kwenye...
MASAU BWIRE:NIOMBEENI,NIMEAMBIWA NIMEKULA CHAKULA CHENYE SUMU
OFISA Habari wa Ruvu Shooting inayoshiriki Ligi Kuu Bara amewaomba Watanzania wamuombee kwa kuwa kwa sasa hali yake haijatengamaa kwa kile ambacho ameambiwa na...
KOCHA AZAM AIPIGA HESABU ZA KUIMALIZA SIMBA
KOCHA mkuu wa kalbu ya Azam, George Lwandamina ameongeza msisitizo wa program za mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa kwanza wa ligi dhidi ya...
BIASHARA UNITED KAMILI GADO KWA MZUNGUKO WA PILI
UONGOZI wa Biashara United umesema kuwa kwa sasa unaendelea na mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kwa timu hiyo kabla ya mechi za Ligi...
MABOSI YANGA WATAJA KAZI YA MTAMBO WA MABAO
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa nyota wao mpya Fiston Abdulazack ambaye wamempachika jina la mtambo wa mabao amekuja kufanya kazi itakayowapa furaha wana Jangwani.Nyota...
KOCHA SIMBA : NITAMFANYA MORRISON AZIDI ‘KUKERA’ ZAIDI..!!!
MFARANSA wa Simba, Didier Gomes amewaambia wachezaji kwamba hataki mbwembwe nyingi za ‘anao anao’ yeye ni ‘unagusa unaachia twende’.Gomes amesisitiza kwamba kikubwa anachotaka kwenye...
LIVERPOOL YATAJWA KUMALIZANA NA BEKI LONG
IMERIPOTIWA kuwa Klabu ya Liverpool ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England imemalizana na beki wa kati wa Klabu ya New York Red...
UCHAGUZI RT KINAWAKA LEO
BARAZA la Michezo Tanzania (BMT), leo linatarajiwa kusimamia uchaguzi mkuu wa Chama cha Riadha Tanzania (RT).Uchaguzi huo ni wa kikatiba na unatarajiwa kujaza nafasi...
JOSE MOURINHO:KUKASIRIKA KWA WACHEZAJI KAWAIDA WAKIFUNGWA
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Klabu ya Tottenham amesema kuwa kitendo cha wachezaji wake kukasirika ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo ni jambo la...