TAARIFA ZOTE ZA MICHEZO NJOO MERIDIANBET

0
Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo likiwa ni kuwafanya...

ALBADILI YAFICHUA MCHEZO MCHAFU SIMBA

0
UONGOZI wa Klabu ya Simba umejitokeza hadharani na kutoa tahadhari kali kwa wanachama, wadhamini na mashabiki wake dhidi ya watu wanaotumia jina na nembo...

MAUMIVU YA CAF, KASALI AIBEBA SIMBA KIMATAIFA

0
KIPA namba moja wa Simba, Mamadou Djibrila Kasali, ameendelea kung’ara barani Afrika baada ya kuingia kwenye orodha ya makipa bora wa Ligi ya Mabingwa...

WINGA AZAM FC ATIMKIA KENYA

0
WINGA wa Azam raia wa Senegal, Pape Doudou Diallo, amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Shabana FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya kwa mkopo hadi...

SALUM MAYANGA AKALIA KUTI KAVU MASHUJAA

0
BAADA ya kukosa ushindi kwenye mechi tano mfululizo za Ligi Kuu Bara, uongozi wa Mashujaa upo katika mazungumzo ya kumalizana na kocha wa kikosi...

HUU NI MSIMU MPYA WA USHINDI KUPITIA JIMIXX

0
Kuna nyakati chache ambapo burudani, teknolojia na fursa ya ushindi hukutana na kuunda kitu kikubwa zaidi. Kupitia ushirikiano wa Meridianbet na Mixx by Yas, sasa...

TIMIZA NDOTO ZAKO NA MERIDIANBET

0
Siku ya leo inaenda kubadilisha maisha yako moja kwa moja kwani mechi kibao zipo uwanjani na nafasi ya kuondoka na ushindi ipo mikononi mwako....

MZIZE NA KIBARUA KIZITO MOROCCO

0
MSHAMBULIAJI wa Yanga,  Clement Mzize, ni miongoni mwa wachezaji waliosafiri na kikosi cha timu hiyo kuelekea Morocco kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa...

SIMBA TUPAMBANE KULINDA HESHIMA YETU, BARKER

0
LICHA ya matumaini ya kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kuendelea kufifia, Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker, amewataka wachezaji wake kupambana...

MABADILIKO YA BENCHI YALIVURUGA SIMBA, MANGUNGU

0
MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, amesema mabadiliko ya ghafla katika benchi la ufundi yamechangia kwa kiasi kikubwa kutokuwa na mwanzo mzuri wa...