KICHAPO CHA MABAO 11 MWADUI HATA HAWAELEWI SABABU
KOCHA wa Klabu ya Mwadui, Khalid Adam amefunguka kuwa mpaka sasa bado hajajua tatizo ni nini ndani ya kikosi chake, kiasi cha kupelekea kufungwa...
SIMBA V KAGERA LEO NI NGOMA NZITO UHURU, MITAMBO YA MABAO HII HAPA
HATUMWI mtoto dukani lazima dakika 90 ziamue nani mbabe ndani ya uwanja hasa kwa hawa wanaume wanapokutana ndani ya uwanja.Simba ikiwa na presha ya...
KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE U 17 KAZINI LEO COSAFA
Saleh Jembe KIKOSI cha timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 17, leo Novemba 4 kinaanza kazi ya kutafuta rekodi ya ubingwa katika michuano...
NAHODHA JOHN BOCCO APEWA MIKOBA KUIMALIZA YANGA
BAADA ya kubaini kuwa huenda Simba ikawakosa washambuliaji wake wawili tishio Chris Mugalu na Meddie Kagere kutokana na majeraha, kocha wa timu hiyo Sven Vandenbroeck, ameweka mikakati ya...
JINA LA DULLA MBABE LAONDOLEWA LKWENYE PAMBANO, SABABU ZATAJWA, ITABA NDANI
BONDIA maarufu Bongo, Abdallah Pazi 'Dulla Mbabe' ameondolewa kuzipiga na bondia kutoka DR Congo Alex Kabangu na nafasi yake imechukuliwa na Hussein Itaba.Pambano hilo...
LIVERPOOL YABAMIZA MTU MKONO
MECHI za hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa msimu huu 2020/21 zimeendelea kuchezwa kwenye viwanja mbalimbali.Usiku wa jana Novemba 3 2020,...
KOCHA YANGA ATOA TAMKO KUHUSU POINTI MOJA
CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kupata pointi moja mbele ya Gwambina ni jambo jema kwani wachezaji wake walijituma kusaka ushindi mambo...
MBELGIJI WA SIMBA AFUNGUKIA KUHUSU AJIBU NA NDEMLA
MBELGIJI Sven Vandenbroeck, amefunguka kuwa amekoshwa na viungo wake Ibrahim Ajibu, Hassan Dilunga na Said Ndemla ambao walifunga mabao kwenye mechi yao dhidi ya...
JEMBE LA KAZI YANGA LIPO KAMILI GADO
HATIMAYE baada ya kuwa nje ya uwanja kwa takriban miezi minne kufuatia jeraha la kifundo cha mguu, kiungo mshambuliaji wa Yanga, Balama Mapinduzi anatarajiwa...
SURE BOY: AZAM FC TUNATAKA KOMBE LA LIGI KUU BARA
KIUNGO wa Azam FC, Aboubakar Salum ‘Sure Boy’, amebainisha wazi kuwa licha ya kupoteza pointi tano kati ya sita walizotakiwa kupata kwenye mechi zao...