SIMBA YAMKOMALIA CHAMA MPAKA TIMU YA TAIFA, KISA YANGA

0
 SIMBA wameanza kupata hofu na kiungo wao Clatous Chama baada ya kumwekea ulinzi kila mahali ili asinaswe na wapinzani wao.Kumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu kiungo...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili 

KOCHA WA MABINGWA WA COSAFA, U 17 ATOA SHUKRANI KWA MUNGU

0
 EDNA Lema, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake chini ya miaka 17 amesema kuwa shukrani kubwa ni kwa Mungu pamoja na...

JEMBE LA KAZI YANGA KAMILI GADO KUIVAA AZAM FC, LAANZA MATIZI

0
 NAHODHA wa Yanga, Lamine Moro, kwa sasa yupo fiti baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, Novemba 7.Moro hakuweze...

SIMBA KUVUTA MAJEMBE YA KAZI, WATATU WAPO KWENYE ORODHA

0
 UONGOZI wa Simba umeweka bayana kuwa utafanya usajili wa kushtua kwenye dirisha dogo ambalo linatarajiwa kufunguliwa Desemba 15.Simba chini ya Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck...

KUONA SPIDI YA TUISILA KISINDA UWANJANI BUKU TATU TU

0
 KESHO Novemba 15 kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze kitakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya African Lyon utakaochezwa Uwanja wa...

NAMUNGO YAJIWEKA MGUU SAWA KIMATAIFA

0
 HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya kuiwakilisha nchi kimataifa kwenye mashindano ya kimataifa.Namungo inaiwakilisha nchi katika...

KOCHA BORA MWEZI OKTOBA, KAZE AWAPA TANO WACHEZAJI WAKE

0
 KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa anaamini wana nafasi ya kufanya vizuri kwenye mechi zao kutokana na hali ya upambanaji wa wachezaji...

AZAM FC KUTESTI MITAMBO KUELEKEA MCHEZO WAO DHIDI YA KMC

0
 VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC leo Novemba 14 watakuwa na mchezo wa kutesti mitambo dhidi ya Mbeya Kwanza.Azam kwenye ligi imecheza...

MARADONA ASHAURIWA KUACHA POMBE

0
LIGENDI wa Argertina, Diego Maradona, ametolewa hospitali siku ya Jumatano, na kuelekea kliniki ya kurekebisha tabia ili kuacha kutegemea pombe.Nyota huyo ambaye anakumbukwa kwa kufunga...