SIMBA YATAJA SABABU YA KUTUMIA BASI KUIFUATA JKT TANZANIA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa sababu kubwa ya wao leo kuifuata JKT Tanzania, Dodoma kwa basi ni kutimza ombi la mashabiki wao wa Morogoro...
RUVU SHOOTING: TUTASHINDA TU MBELE YA DODOMA JIJI FC
UONGOZI wa timu ya Ruvu Shooting umeweka wazi kuwa unajiamini katika uwezo wao na utapambana kupata matokeo chanya kwenye mechi yao dhidi ya Dodoma...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
RAUNDI YA TANO RATIBA KAMILI VPL HII HAPA
Ijumaa,Oktoba 2 Dodoma Jiji v Ruvu Shooting, Uwanja wa Jamhuri Dodoma saa 10:00 jioni.Oktoba 3Gwambina v Ihefu, saa 8:00 mchana.Namungo v Mwadui FC, Uwanja wa...
ISHU YA MAPUNGUFU YA MKATABA WA MORRISON, SIMBA YAJIBU KIMTINDO
BAADA ya Uongozi wa Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti, Fredrick Mwakalebela kudai kuwa mkataba wa mchezaji wao wa zamani Bernard Morrison na mabosi wake...
KESHO NI DODOMA JIJI V RUVU SHOOTING UWANJANI
KESHO Oktoba 2 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kuchanja mbuga ikiwa ni raundi ya tano sasa baada ya raundi ya nne kukamilika na kushuhudia...
YANGA YADAI MKATABA WA MORRISON SIMBA SIO HALALI
KLABU ya Yanga imeibua upya utata mwingine wa mkataba wa mshambuliaji Bernard Morrison wakidai hana mkataba halali na mabosi wake wa sasa ambao ni...
KOCHA YANGA AFAFANUA DAKIKA 15 ZA WAZIR JR
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi amesema kuwa ulikuwa ni mpango maalumu kumuingiza nyota wao Wazir Junior kipindi cha pili na kumtoa baada ya...
LAMINE MORO ATAMBA KUENDELEA KUTUPIA NDANI YA LIGI KISA UWEPO WA MUANGOLA
BEKI wa Yanga, Lamine Moro, amefunguka kuwa kama kiungo wa timu hiyo, Carlos Carlinhos, raia wa Angola ataendelea kupata nafasi ya kucheza, basi yeye...