MASAU BWIRE AJA NA KUPAPASA NA KUKUNG’UTA
OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire baada ya kutamba msimu uliopita na msemo wake maarufu ‘mpapaso square’ msimu huu amekuja na msemo mpya atakaoutumia...
MTANZANIA CHEKA ASHINDA UBINGWA KWA POINT MBELE YA MMALAWI
BONDIA wa Tanzania, Cosmas Cheka, ameshinda pambano dhidi ya Mmalawi, Hannock Phiri, lililofanyika Uwanja wa Jamhuri, Morogoro, usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2020.Mabondia...
NEYMAR AAMBULIA KADI NYEKUNDU TIMU YAKE IKICHAPWA BAO 1-0
SUPASTAAA wa Klabu ya PSG, Neymar Jr alikuwa ni miongoni mwa nyota watano ambao walionyeshwa kadi nyekundu kwenye mchezo wa Ligue 1 uliochezwa usiku...
AZAM FC WATAKA KUWEKA REKODI YAO MSIMU WA 2020/21
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa utaendelea kugawa dozi mbele ya wapinzani kwa kuwa wanahitaji kuweka rekodi ndani ya msimu mpya wa 2020/21. Azam...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
KOCHA SIMBA: WACHEZAJI YANGA WAPEWE NAFASI
KOCHA wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amefichua kuwa kwa jinsi kikosi cha Yanga kilivyo msimu huu itachukua muda kuwafikia wapinzani wao Simba. Julio...
VPL:YANGA O-0 MBEYA CITY
MCHEZO unaoendelea kwa sasa Uwanja wa Mkapa wa Ligi Kuu Bara ni kati ya Yanga dhidi ya Mbeya City ya Mbeya. Kipindi ni cha...
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MBEYA CITY UWANJA WA MKAPA
LEO Septemba 12, Yanga itawakaribisha Mbeya City Uwanja wa Mkapa majira ya saa 1:00 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.Hiki hapa kikosi cha Yanga...
MUZIKI WA YANGA NDANI YA DAKIKA 900 SI MCHEZO, KAZI INAANZA LEO
KAZI ndiyo imeanza kwa Kocha Mkuu wa Yanga, Zlatko Krmpotic raia wa Serbia kuirudisha timu hiyo kwenye furaha kwa kuanza kutwaa ubingwa wa Ligi...
KMC WANA MOTO KWELI NDANI YA LIGI KUU BARA, YAFUNGA MABAO 6
KLABU ya KMC imeendeleza moto wake ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kuinyoosha mabao 2-1 wapinzani wa Tanzania Prisons, kwenye mchezo wa Ligi Kuu...