MBWANA SAMATTA ACHEKELEA KUBAKI EPL
NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta, ataendelea kukipiga katika Klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England. Aston Villa imenusurika...
SIMBA: KISINDA ATALETA UPINZANI NDANI YA LIGI KUU BARA
BAADA ya dirisha la usajili la Ligi Kuu Bara kufungwa rasmi Agosti 31 mwaka huu, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Aden Rage...
JESHI KAMILI LA POLISI TANZANIA 2020/21 HILI HAPA
HILI hapa jeshi kamili la Polisi Tanzania msimu wa 2020/21
YANGA WATAJA MADENI YAO MAKUBWA MATATU
KLABU ya Yanga imewaahidi mashabiki wake kuwa ipo kwenye mipango ya kuanza ujenzi wa uwanja wa mazoezi wa timu hiyo utakaofanyika Kigamboni pamoja na...
SVEN VANDENBROEC AFUNGUKIA ISHU YAKE NA KAGERE
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa hana tatizo na nyota namba moja wa kucheza na nyavu ndani ya Simba Meddie Kagere.Habari zinaeleza...
KWA NGUVU YA 1000…KATOKA KUWA MUUZA DUKA MPAKA KUWA MILIONEA WA PERFECT 12 ...
Kuna usemi wa vijana kwamba maisha hayana formula.Hii imejidhihirisha kwa kijana Raphael ambaye ameibuka mshindi wa milioni 113.7 kutoka M-Bet na kumfanya kuingia kwenye...
MROMANIA WA AZAM FC ATAKA MECHI MOJA KABLA YA LIGI KUANZA
ARISTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC, amewaambia mabosi wake kuwa anahitaji mechi moja ya mwisho kwa ajili ya kulipima jeshi lake kabla ya...
KMC KUANZA NA MAJEMBE 11 MAPYA HAYA HAPA
TIMU ya KMC yenye maskani yake Kinondoni itaanza msimu wa 2020/21 ikiwa na maingizo mapya 11 ndani ya kikosi cha kwanza baada ya kufanya...
BREAKING:ISHU YA KAGERE KUDAIWA KUPIGANA NA SVEN UONGOZI WATOA TAMKO
UONGOZI wa simba umesema kuwa taarifa zinazoenea mitandao na kwenye baadhi ya vyombo vya habari zikieleza kuwa mchezaji wao nyota Meddie Kagere amepigana na...
TANGUAY WA SPURS AWEKWA SOKONI
TOTTENHAM wapo tayari kuskiliza ofa kutoka timu ambayo inamhitaji nyota wake Tanguy Ndombele ili kumuuza kiungo huyo raia wa Ufaransa.Kiungo huyo alikuwa mchezaji muhimu...