MO WA SIMBA AKUBALI USAJILI WA YANGA, MORRISON ATUMA UJUMBE, NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la CHAMPIONI Jumatatu, lipo mtaani usikose nakala yako

YANGA WAANZA MAZUNGUMZO NA YONDANI

0
 KELVIN Yondani beki mkongwe ndani ya Klabu ya Yanga ambaye aliachwa jumla baada ya mkataba wake kuisha inaeelezwa kuwa yupo kwenye mazungumzo na mabosi...

WAZIRI MWAKYEMBE YUPO CHAMAZI AKISHUHUDIA BURUDANI KILELE CHA AZAM FESTIVAL

0
 WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Harrison Mwakyembe, ni mgeni rasmi wa Tamasha la Azam FC...

RONALDO AWASHAURI BARCELONA WASIMUACHE MESSI AONDOKE

0
LEGENDI Ronaldo  nyota wa zamani wa Timu ya Taifa ya Brazil na Klabu ya Barcelona, amesema kuwa timu yake ya zamani itafanya makosa ikiwa...

IHEFU FC WAPO VIZURI, WAMALIZANA NA NYOTA HAWA SABA

0
IHEFU FC yenye ngome yake mkoani Mbeya inaendelea kujiimaraisha kwa ajili ya kushiriki Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21 baada ya kupanda kutoka Ligi...

NAMUNGO WATUMA UJUMBE HUU KWA AZAM FC

0
 ABDULHAMAN Humud maarufu kama Gaucho nyota mpya ndani ya Klabu ya Namungo FC amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa leo wa kirafiki dhidi...
Habari za Yanga

SARPONG ACHEKELEA KUIBUKIA YANGA, ATOA AHADI HII

0
MICHAEL Sarpong mchezaji mpya wa Klabu ya Yanga amesema kuwa anafurahi kujiunga na Yanga na anaamini kwamba atapambana kufikia malengo ya timu hiyo.Sarpong raia...

KOCHA MPYA BARCA AWAFUNGULIA MLANGO SUAREZ, BUSQUETS, JORDI ALBA

0
 IMERIPOTIWA kuwa, kocha mpya wa Barcelona, Ronald Koeman, amewafungulia njia ya kutokea mastaa watatu wakubwa wa timu hiyo ambao ni Luis Suarez, Sergio Busquets...

ILE ISHU YA RUSHWA INAYOMKABILI MAGUIRE NCHINI UGIRIKI

0
 MYKONOS, UgirikiNAHODHA wa Manchester United, Harry Maguire, anatuhumiwa kutoa rushwa kwa polisi baada ya kukamatwa nchini Ugiriki ambapo atapelekwa kwenye Kisiwa cha Syros kujibu tuhuma...

KUMBE ARSENAL HAWAJAMPA AUBAMEYANG OFA YOYOTE….

0
 LONDON, EnglandPIERRE-Emerick Aubameyang ameibuka na kusema kwamba bado hajapewa ofa yoyote ya mkataba mpya na klabu yake ya Arsenal. Takribani wiki sasa imekuwa ikielezwa kwamba...