KUMBE! SIMBA ILIKUWA IMEPANGA KUCHEZA NA WAARABU
UONGOZI wa Simba umesema kuwa mpango mkubwa kwenye mchezo wao wa kimataifa wa kirafiki kilele cha Simba day ilikuwa kucheza na waarabu wa Misri,...
DI MARIA ALIWAKA KWELI WAKATI PSG IKITINGA HATUA YA FAINALI
PSG imekuwa timu ya kwanza kutoka Ufaransa kutinga hatua ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa mabao 3-0 mbele ya...
MAJEMBE HAYA MAWILI YA KAZI YENYE MABAO 12 YAPO SANA SIMBA
HASSAN Dilunga na Said Ndemla, viungo wa Klabu ya Simba bado wataendelea kukipiga ndani ya kikosi hicho cha Mabingwa wa Ligi Kuu Bara mara...
KICHAPO CHA MABAO 8-2 KINAWAFIKIRISHA KUSEPA MASTAA WENGI BARCELONA
LUIS Suarez, staa wa Klabu ya Barcelona ni miongoni mwa nyota wanaotajwa kuwa kwenye mpango wa kusepa ndani ya klabu hiyo msimu ujao baada...
ISHU YA MWAMNYETO KUIBUKIA YANGA, MSIMAMO WA COASTAL UNION UPO HIVI
KOCHA Mkuu wa Klabu ya Coastal Union, Juma Mgunda, amesema kuondoka kwa nyota wao wanne waliokuwa wakitumika kikosi cha kwanza akiwemo aliyekuwa nahodha wa kikosi hicho,...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano
PSG WATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
PSG usiku wa kuamkia leo imefanikiwa kushinda kwa mabao 3-0 dhidi ya Leipzig mjini Lisbon. Mchezo huo wa hatua ya nusu fainali ulikuwa na...
TANO KALI ZA MWANZO KWA YANGA HIZI HAPA
TAYARI ratiba ya Ligi Kuu Bara imeshatoka na kila timu ishajua nani ataanza naye kwenye ligi msimu wa 2020/21.Hizi hapa mechi tano za kikosi...
BEKI YANGA ‘AJIFUNGA’ MWAKA MMOJA KMC
Andrew Vincent maarufu kama Dante ametambulishwa leo Agosti 18 ndani ya KMC kwa dili la mwaka mmoja kukipiga ndani ya kikosi cha wana Kino....
MECHI YA UFUNGUZI WA LIGI KUU BARA KUPIGWA AGOSTI 30
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Simba kwa msimu wa 2019/20 wanatarajiwa kukutana na washindi wa pili wa Kombe la Shirikisho, Namungo FC, Agosti 30,...