ISHU YA USAJILI, YOUTUBE HAKUNA MCHEZAJI MBAYA, TIMU ZA BONGO ZIBADILIKE

0
 DIRISHA kubwa la usajili linaendelea kushika kasi kwa sasa kila timu inataka kusajili fastafasta ili imalize ndani ya muda yaani ikifika saa 5:59 usiku...

BREAKING: YANGA V SIMBA OKTOBA 18

0
MECHI ya kwanza ya watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba inatarajiwa kuchezwa  Oktoba 18, Uwanja wa Mkapa, Dar.Mtendaji Mkuu wa Bodi...

KICHAPO CHA MABAO 2-1 MBELE YA SEVILLA SABABU YA MZOZO WA BRUNO NA VICTOR

0
OLE Gunnar Solksjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa wachezaji wake wawili, Bruno Fernandes na Victor Lindelof walikuwa na presha ya mchezo jambo...

ORODHA YA WACHEZAJI TISA WALIOACHWA KAGERA SUGAR, NYOSO PIA YUMO

0
 WACHEZAJI Tisa wameachwa mazima ndani ya kikosi cha Kagera Sugar baada ya mikataba yao kuisha, Nyoso pia, Mwashiuya tayari ashaibukia Mbeya City. Orodha yao...

SIMBA KUANZA MAZOEZI RASMI LEO JUMATATU

0
 KIKOSI cha Simba leo Agosti 11, Jumatatu, kinatarajia kuanza mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2020/21. Pia itakuwa ni maandalizi kuelekea kilele...

HII HAPA CV YA KOCHA ANAYETAJWA KUTUA YANGA

0
 HII hapa CV ya Kocha anayetajwa kuibukia Yanga kubeba mikoba ya Luc Eymael 

UZI MPYA WA AZAM FC ACHA KABISA,AGOSTI 23 KILELE CHA AZAM FESTIVAL

0
 Uzi mpya rangi nyeupe wa Azam FC ambao utatumika msimu wa 2020/21 kwa mechi za nyumbani pia upo wa bluu ambao utatumika kwenye mechi...

HILI HAPA JESHI KAMILI LA SIMBA,MAJEMBE MAPYA SABA NDANI

0
 Kikosi kamili cha Simba MakipaAishi Manula Beno kakolanya Ali Salim Mabeki wa kuliaShomari Kapombe David kameta ingizo jipya kutoka LipuliMabeki wa kushotoMohamed Hussein Gadiel Michael Mabeki wa katiErasto Nyoni Paschal Wawa Joash...

BOSI GSM AFUATA VIFAA CONGO,SIMBA WANA JAMBO LAO,NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU

0
 MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu 

ONYANGO: KAHATA KANILETA SIMBA SC

0
 KITASA kipya cha Simba, Joash Onyango raia wa Kenya, amefunguka kuwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Francis Kahata ndiye aliyemleta klabuni hapo kutokana na...