ISHU YA KESI YA MKATABA WA MORRISON UONGOZI WA SIMBA WATOA UFAFANUZI, WAITAJA YANGA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kuhusu suala la Bernard Morrison kutangazwa ndani ya Simba ilihali ana kesi ya kimkataba lazima ianze kwenye mkataba wa...
MUHIMU KUWA MAKINI SASA KATIKA WAKATI HUU WA USAJILI
TAYARI dirisha la usajili limefunguliwa na kila timu ipo sokoni kupambana kupata wale ambao inawahitaji ndani ya timu zao. Timu zote usajili wa Ligi Kuu...
TSHISHIMBI NAYE NI MNYAMA, SENZO ATUA YANGA,NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
MAJEMBE SABA YALIYOKATWA YANGA YAMEACHA ALAMA HII
NYOTA saba ambao walikuwa ndani ya kikosi cha Yanga wamepewa mkono wa kwaheri baada ya dirisha la usajili kufunguliwa Agosti Mosi na mambo yanaendelea...
SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU SENZO
BAADA ya Senzo Masingiza aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba kujiuzulu ndani ya klabu hiyo huku ikielezwa kuwa amepata kazi ndani ya Simba uongozi wa...
BREAKING:SENZO WA SIMBA AIBUKIA YANGA
MUDA mfupi baada ya aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba , Senzo Mbatha leo Agosti 9 kutangaza kujiuzulu nafasi yake katika klabu hiyo,...
MTIBWA SUGAR WAKIRI KUWA MSIMU WA 2019/20 ULIKUWA MBAYA KWAO
UONGOZI wa Mtibwa Sugar, umeweka bayana kuwa msimu wa 2019/20 ulikuwa ni mbaya kuliko misimu yote iliyotokea kwao ndani ya Ligi Kuu Bara.Akizungumza na...
BREAKING:SENZO AACHIA NGAZI SIMBA
BREAKING: Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba SC, Senzo Mbatha ametangaza kujiuzulu nafasi yake katika klabu hiyo,leo Agosti 9.Senzo ameishukuru klabu kwa mafanikio yaliyopatikana...
BREAKING:KIBWANA SHOMARI ASAINI YANGA, ATAJWA KUWA MBADALA WA JUMA ABDUL
KIBWANA Shomari, beki wa kulia wa Klabu ya Mtibwa Sugar leo ametangazwa rasmi kuwa mchezaji wa Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam,Kibwana anaingia...
DEO KANDA ATAJWA KUIBUKIA YANGA
INAELEZWA kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Deo Kanda amesaini dili la miaka miwili ndani ya Yanga. Tayari dirisha la usajili limefunguliwa tangu Agosti Mosi...