SAMAKIBA LEO HAPATOSHI, MORRISON HATIHATI KUKOSA TIMU KWA MKAPA
HAPATOSHI leo katika Uwanja wa Mkapa uliopo jijini Dar wakati vikosi vya Timu Samatta na Timu Alikiba vitakapomenyana katika mchezo wa hisani wa SamaKiba...
SUALA LA KOCHA YANGA KUJULIKANA MAPEMA KABLA YA TIMU KUINGIA KAMBINI
BAADA ya kutambulisha vifaa vyao vipya ambavyo watavitumia kwa msimu ujao akiwemo beki Bakari Mwamnyeto, mabosi wa Yanga, wiki ijayo wanatarajiwa kumshusha kocha mkuu...
MABOSI JUVENTUS WAMSHUSHIA LAWAMA CR 7 KUTOLEWA LIGI YA MABINGWA ULAYA
UONGOZI wa Juventus umemshushia lawama nyota wao namba moja ,Cristiano Ronaldo kuwa anatumia njia nyingine mbadala ya kutaka kuondoka ndani ya timu hiyo baada...
FAMILIA YABARIKI SURE BOY KUIBUKIA YANGA
BABA mzazi wa kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, Abubakar Salum amesema ni muda muafaka kwa mwanaye kukipiga ndani ya kikosi cha...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
KIKOSI BORA VPL 2019/20 HIKI HAPA
HIKI hapa Kikosi Bora cha msimu wa 2019/201. Aishi Manula.2.David Luhende.3.Nicolaus Wadada4.Bakari Nondo5.Pascal Wawa6.Zawadi Mauya7.Lucas Kikoti8.Clatous Chama9.Meddie Kagere10.John Bocco11.Luis Muiquissone
SHIKALA MBABE WA LUIS NA SADALLA, ASEPA NA TUZO YA BAO BORA
PASTON Shikala, nyota wa Mbeya City ameibuka mshindi wa tuzo ya bao bora kwa msimu wa 2019/20.Bao la Shikala lilipatikana kwenye mchezo wa Ligi...
CHAMA ATWAA TUZO YA KIUNGO BORA VPL 2019/20, AWAPOTEZA KIKOTI NA MAPINDUZI
CLATOUS Chama, kiungo wa Simba leo Agosti 7 ametwaa tuzo ya Kiungo Bora ndani ya msimu wa 2019/20. Kilele cha sherehe hizo ni ukumbi...
NICOLAS WADADA WA AZAM FC BEKI BORA WA VPL 2019/20
NICOLAS Wadada, beki wa Azam FC leo Agosti 7 amekabidhiwa tuzo ya beki bora kwa msimu wa 2019/20.Wadada amewashinda wachezaji wenzake aliokuwa akipambana nao...
MANULA AWABURUZA MGORE NA BAROLA, ASEPA NA TUZO YAKE
MLINDA mlango namba moja wa Simba, Aishi Manula amechaguliwa kuwa Golikipa Bora wa Msimu wa 2019/20.Tuzo imepokelewa na Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki, Hashim...