MASHINE SABA ZA YANGA KUIKOSA NDANDA FC LEO TAIFA
LEO Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Luc Eymael itamenyana na Ndanda FC Uwanja wa Taifa mchezo wa Ligi Kuu Bara. Ndanda FC inanolewa na Kocha...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
BIASHARA UNITED SASA KAZINI KESHO MBELE YA AZAM FC, BONGE MOJA YA MECHI
AZAM FC, kesho ina kibarua cha kumenyana na Biashara United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Uwanja wa Karume Mara.Ikiwa chini ya Aristica...
WACHEZAJI, BENCHI LA UFUNDI SIMBA KUOGELEA MAMILIONI KWA MTINDO HUU
INAELEZWA kuwa iwapo Simba itatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20 wachezaji wataogelea mamilioni ya fedha.Mamilioni hayo watapewa kutoka kwenye fedha watakazopewa...
MAJEMBE MANNE YA KAZI YAANDALIWA KUZIBA PENGO LA LAMINE
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, raia wa Ubelgiji, amefunguka kuwa hakutakuwa na pengo lolote la kumkosa beki wake wa kati Lamine Moro kwenye...
SIMBA YASHINDWA NA NYOTA SHONGA KWENYE DAU, SASA KUTIMIKIA URENO
JUSTIN Shonga, mshambuliaji wa Orlando Pirates ya Afrika Kusini inaelezwa kuwa yupo mbioni kujiunga na Klabu ya CS Maritimo ya nchini Ureno, hiyo ni...
HASSAN KESSY – BILA MILIONI 80 SIJI YANGA..!!
BEKI wa kulia Mtanzania, Hassan Kessy, anayekipiga Nkana FC ya Zambia, amesema yupo tayari kurejea Yanga kwa dau la Sh milioni 80.Hiyo ikiwa ni...
MBELGIJI WA YANGA, EYMAEL ASIMULIA MATESO ALIYOPATA NDANI YA DAKIKA 180
JUNI 13, Yanga iliendelea pale ilipoishia kwa kutupa kete ya 28 mbele ya Mwadui FC mchezo uliochezwa Uwanja wa Kambarage, Shinyanga na ya 29...
SIMBA YAIPIGIA HESABU TANZANIA PRISONS
MABINGWA watetezi wa Simba wameanza kuivutia kasi Klabu ya Tanzania Prisons kwa kufanya mazoezi kwa ajili ya mchezo wao utakaopigwa Juni,28 Uwanja wa Sokoine.Simba...
MORRISON: NILICHEZA MECHI MBILI BILA KUWA NA MKATABA NDANI YA YANGA
BERNARD Morrison, nyota wa Klabu ya Yanga amesema kuwa alicheza mechi mbili akiwa hajasaini dili na klabu hiyo kwa kuwa walikuwa wakihitaji kutazama uwezo...