LIPULI IPO FITI KUWAVAA POLISI TANZANIA LEO
NZEYIMANA Mailo, Kocha Mkuu wa Lipuli amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...
MWADUI YATUMA UJUMBE HUU KWA MNYAMA
GERALD Mdamu, mshambuliaji namba moja wa Mwadui FC amesema kuwa mchezo wa leo mbele ya Simba watapambana kupata matokeo chanya ili kujihakikishia nafasi ya...
SIMBA:HAKUNA TUNACHOKITAKA LEO ZAIDI YA USHINDI
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hakuna kitakachowazuia kushinda mbele ya Mwadui FC baada ya kujipanga vema kwenye mchezo wa leo utakaochezwa Uwanja wa Taifa...
KOCHA MBAO AANZA NA MKWARA WA KUTOSHA
KOCHA Mkuu wa Mbao FC, Felix Minziro amesema kuwa ana matumaini makubwa na wachezaji wake watapambana kubaki kwenye Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21.Minziro...
KESHO YANGA V AZAM NI BALAA, DATA NI NOMA
KESHO Uwanja wa Taifa wanaume 22 miguu yao itapambana kusaka pointi tatu ndani ya Ligi Kuu Bara.Kwa mujibu wa takwimu hizo, Azam FC imekutana...
HAO GWAMBINA WAPANIA KUPANDA LEO, RAMANI IPO NAMNA HII
MOJA ya timu ambazo zina uhakika wa kushiriki Ligi Kuu Bara msimu ujao wa 2020/21 ni Gwambina FC ya Mwanza kutokana na hesabu zake...
GWAMBINA FC: TRASINT CAMP WANATUPA TIKETI KUSHIRIKI LIGI KUU BARA
UONGOZI wa Gwambina FC umesema kuwa Transit Camp wanawapa tiketi yao ya kushiriki Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21.Gwambina FC iliyo nafasi ya kwanza...
KIUNGO FUNDI WA SIMBA SASA KUIBUKIA YANGA, APIGWA MIAKA MIWILI
INAELEZWA kuwa kiungo wa zamani wa Klabu ya Simba aliyetwaa tuzo ya kiungo bora ndani ya Simba kwa msimu wa 2018/19 anaweza kuibuka muda...
BUMBULI WA YANGA AFUNGUKIA UHUSIANO WAKE NA HAJI MANARA WA SIMBA
HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga amesema kuwa wana mahusiano ya ukaribu kikazi na Ofisa Habari wa Simba Haji Manara.Bumbuli anasimamia kitengo...
OLE GUNNAR SOLSKJAER AMTAJA POGBA KUWA MCHEZAJI BORA DUNIANI
OLE Gunnar Solskajaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa kiungo wake Paul Pogba ni miongoni mwa wachezaji bora ulimwenguni kutokana na uwezo wake...