MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII

0
Msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya mechi mbili za jana, Juni 14 upo namna hii

MASHINE HATARI YASAINI YANGA, SVEN AJA NA MIKAKATI MIZITO, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU

0
KESHO ndani ya Championi Jumatatu usikubali kukosa nakala yako

AZAM FC SIO WATU WAZURI, WAIPIGA MABAO 2-0 MBAO FC

0
AZAM FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Uwanja wa Azam Complex.Mabao...

KISA KUGAWANA POINTI MOJA NA RUVU, SIMBA WATOA TAMKO HILI

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa sare ya kufungana bao 1-1 na Ruvu Shooting Uwanja wa Taifa leo sio aina ya matokeo mazuri ambayo waliyatarajia.Simba...

AZAM FC YAPIGA MTU 4G

0
TIMU ya wafanyakazi wa Azam FC imefanya kweli baada ya kuwafunza soka wafanyakazi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikiwanyuka mabao 4-0.Mechi hiyo ya...

SIMBA YAKIONA CHA MOTO LEO TAIFA, YAAMBULIA POINTI MOJA MBELE YA WAZEE WA KUPAPASA

0
LICHA ya Shiza Kichuya kuifungia Simba bao la kuongoza dakika ya 11 halikufua dafu mbele ya wazee wa kupapasa Ruvu Shooting ambao walilipinduapindua ndani...

AZAM FC WATEKELEZA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU KWA VITENDO

0
AZAM FC leo imetekeleza kwa vitendo siku ya wachangiaji damu duniani, kwa baadhi ya wafanyakazi kuchangia damu kwenye benki ya Taifa ya Damu Salama.Zoezi...

VPL: SIMBA 1-1RUVU SHOOTING

0
Zimeongezwa dakika 3Kipindi cha Kwanza Uwanja wa Taifa dakika 45 zimemegukaDakika ya 43 Ruvu wanalifuata lango la SimbaDakika ya 35 Goal MagangaDakika ya 35...

HILI HAPA JESHI KAMILI LA WAZEE WA KUPAPASA RUVU SHOOTING DHIDI YA SIMBA

0
KIKOSI cha Ruvu Shooting dhidi ya Simba leo Juni 14 Taifa kitakuwa namna hii:-Mohamed MakakaOmary KindambaKassim Simbaulanga Rajab ZahirBaraka MtuwiZubeir Dabi Abdallahman MusaShaban MsalaGraham Naftal Fully Maganga William...