JESHI LA YANGA LITAKALOANZA DHIDI YA MWADUI FC LEO, KAMBARAGE

0
KIKOSI ca Yanga kitakachoanza le dhidi ya Mwadui FC Uwanja wa Kambarage

MTAMBO WA KAZI WAUNGANA NA WENZAKE NDANI YA KIKOSI CHA AZAM FC

0
BEKI wa Azam FC, Nicolas Wadada jana ameungana na wachezaji wenzake kufanya mazoezi ya pamoja kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kesho dhidi...

SIMBA YAZITAKA POINTI TATU ZA RUVU SHOOTING

0
LUIS Miquissone, kiungo mshambuliaji wa Simba amesemamazoezi waliyofanya kwa muda wa wiki mbili yatawasaidia kupata matokeo chanya mbeke ya Ruvu Shooting.Kesho Juni 14, Simba...

RONALDO WA JUVENTUS AKOSA PENALTI, TIMU YAKE YATINGA HATUA YA FAINALI

0
CRISTIANO Ronaldo wa Juventus, alikosa penalti kwenye mchezo wa marudiano Kombe la Italia jana mbele ya AC Milan hatua ya nusu fainali. Timu yake...

OKWI ANARUDI SIMBA,NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi

SIMBA YAMALIZANA NA VIUNGO WIWILI WA KAZI FASTA, PESA YATEMBEA

0
IMEFAHAMIKA kuwa, Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ ametumia Sh Mil 60 kusajili viungo wawili, Mzamiru Yassin na Said Ndemla kuendelea kusalia klabuni hapo.Viungo...

KOCHA WA YANGA AMTAJA MSHAMBULIAJI ATAKAYESEPA BAADA YA MSIMU KUMEGUKA

0
KOCHA wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo, amefunguka kuwa mshambuliaji wa timu hiyo, David Molinga ataondoka mwishoni mwa msimu huu.Zahera...

COASTAL UNION YAZITAKA POINTI TATU ZA NAMUNGO

0
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa kesho, Juni 13 itakuwa ni kazi moja tu kuendelea pale walipoishia kwenye mechi za ligi...

SHINDA GARI SASA YAFIKA PATAMU, MSHINDI NJIANI KUPATIKANA

0
LILE shindano la wasomaji wa magazeti bora ya michezo zilizofanyiwa uchunguzi wa kina, Championi na Spoti Xtra, ambapo mshindi anatarajiwa kukabidhiwa gari jipya aina...

MWADUI FC YAZITAKA POINTI TATU ZA YANGA

0
UONGOZI wa Mwadui FC umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Yanga.Mwadui FC itawakaribisha Yanga Uwanja wa Kambarage majira...