COASTAL UNION: NAMUNGO SIO TIMU NYEPESI,TUPO TAYARI KUPAMBANA
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda, amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa ligi dhidi ya Namungo utakaopigwa Uwanja wa...
FAINALI YA KOMBE LA FA KUPIGWA SUMBAWANGA
FAINALI ya Kombe la Shirikisho lililo mikononi mwa Azam FC mwaka huu itapigwa Sumbambawanga, mkoani Rukwa.Uwanja huo wa Nelson Mandela kwa sasa unaendelea kufanyiwa...
MBEYA CITY YATOSHANA NGUVU NA TANZANIA PRISONS
MCHEZO wa kirafiki uliochezwa leo kati ya Mbeya City na Tanzania Prisons umekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu.Mechi hiyo maalumu kwa ajili ya kujipima...
SIMBA YAENDELEA KUTOA TAHADHARI NA SOMO KWA MASHABIKI KUHUSU CORONA
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa ni muhimu kwa mashabiki kuzingatia kanuni na muongozo uliotolewa na Serikali wakati ligi itakapoendelea pale ilipoishia.Simba...
JOSE MOURINHO AMTAKA JIMEZEZ WA WOLVES
RAUL Jimenez, mshambuliaji wa Klabu ya Wolves yupo kwenye hesabu za Kocha Mkuu wa Tottenham Hotspur, Jose Mourinho anayemtaka ndani ya kikosi chake.Nyota huyo...
KOCHA AYAKATAA MABAO YA BOCCO WA SIMBA
KOCHA Mkuu wa KMC, Harerimana Haruna amesema kuwa kichapo cha mabao 3-1 walichopata kutoka kwa Simba sio halali kwa kuwa mabao mawili yaliyofungwa na...
TSHISHIMBI, MOLINGA NA KABAMBA WAACHWA BONGO
KIKOSI cha Yanga leo kimeanza safari kwa basi kuwafuata wapinzani wao Mwadui kwenye mchezo wa ligi utakaochezwa Juni 14, Uwanja wa Kambarage huku mastaa...
MOLINGA AACHWA BONGO,HIKI HAPA AMESEMA
KIKOSI cha Yanga leo kimeanza safari ya kuelekea Shinyanga kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mwadui utakaochezwa Juni 14.Katika kikosi...
MBELGIJI WA YANGA KUTUA LEO
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael anatarajiwa kutua leo kwa ajili ya kuendelea kibarua chake majira ya saa 7:20 mchana.Eymael alielekea Ubelgiji baada ya...
OLE GUNNAR APANGA KUMTUMIA POGBA NA BRUNO
OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United inaripotiwa kuwa amepanga kumtumia kiungo wake Paul Pogba kucheza namba 10 sambamba na kiungo Bruno Fernandes.Pogba...