BREAKING: SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU WACHEZAJI WAKE KUSEPA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hakuna mchezaji yoyote anayeweza kuondoka kwa sasa ndani ya Simba na kuibukia Klabu yoyote kwa sasa iwapo atakuwa anahitajika...
FA KUFUNGUA DIRISHA LA USAJILI AGOSTI
CHAMA cha Soka England (FA) kipo kwenye mchakato wa kufungua dirisha la usajili itakapofika Agosti mpaka kufika tamati Oktoba.Mpango mkubwa wa kufungua dirisha la...
KANTE NA JORGINHO WAPO KWENYE MPANGO WA KUUZWA
FRANK Lampard, Kocha Mkuu wa Chelsea inaelezwa kuwa yupo kwenye mpango wa kumuuza N'Golo Kante na Jorginho.Inaelezwa kuwa mpango wa Chelsea ni kupata saini...
MECHI YA AZAM FC NA KMC HATIHATI KUYEYUKA, SIMBA, YANGA,KIKAANGONI LEO
MECHI ya kirafiki iliyopangwa kuchezwa kesho kati ya Azam FC na KMC huenda ikayeyuka jumla baada ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kuzuia mechi...
CHAMA NI MWENDO WA MATIZI TU, AKOSA MECHI MBILI BONGO
KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama jana alianza mazoezi yake rasmi kujiweka fiti kwa ajili ya kuweza kuungana na wenzake kwenye kikosi.Chama alianza kufanya...
JEMBE LA KAZI LIMERUDI MAZIMA YANGA
PAPY Tshishimbi, nahodha wa Yanga amerejea mazoezini baada ya kukaa nje kwa muda akiuguza majeraha yake aliyoyapata wakati wa mazoezi ya hivi karibuni.Yanga ilianza...
AJIBU AMERUDI,AFUNGA BAO LA KIDEO SIMBA IKISHINDA MABAO 3-1 MBELE YA KMC
IBRAHIM Ajibu, kiungo mshambuliaji wa Simba leo amefunga bao la kideo dakika za usiku wakati Simba ikiifunga mabao 3-1 KMC kwenye mchezo wa kirafiki...
KIPIGO WALICHOPOKEA YANGA CHA MABAO 3-0 MBELE YA KMC NI FAIDA KWAO
Na Saleh AllyNINAAMINI mechi ya kirafiki dhidi ya KMC jana imekuwa na faida kubwa sana kwa Yanga na hasa benchi la ufundi.Kwa mashabiki kimekuwa...
KIPINDI CHA PILI: SIMBA 1-1 KMC
MCHEZO wa kirafiki kati ya Simba na KMC Uwanja wa Simba Mo Arena kwa sasa ni kipindi cha pili.KMC ilianza kufunga bao la kwanza...