KESHO NDANI YA SPOTIXTRA YANGA WANA JAMBO LAO ZITO,JUMAPILI USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO

0
KESHO ndani ya SPOTIXTRA Jumapili usikose kupata nakala yako

MUONEKANO WA BEKI KISIKI WA SIMBA PASCAL WAWA BAADA YA KARANTINI

0
HUU ndio MUONEKANO wa beki kisiki wa Simba Pascal Wawa baada ya kukaa kupita kipindi cha mpito cha kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya...

KAGERA SUGAR V YANGA MECHI YA KISASI

0
KLABU ya Kagere Sugar iliyo chini ya Kocha Mkuu, Mecky Maxime imeshaanza maandalizi kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe...

BALAA LA LAMINE MORO BEKI KISIKI WA YANGA LIPO NAMNA HII

0
LAMINE Moro, beki wa kati wa Yanga msimu huu wa 2019/20 ikiwa ni mara yake ya kwanza kucheza ligi ya Bongo ameonyesha uimara na...

HILI NDILO ZOEZI ANALOLIPENDA MBWANA SAMATTA, HAPA NDIPO WALIPO

0
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga ndani ya Klabu ya Aston Villa inayoshriki Ligi Kuu England amesema kuwa zoezi analopenda...

RUVU SHOOTING:TUPO TAYARI KUTOA BURUDANI

0
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi zao zote 10 zilizobaki kuendelea kutoa burudani kwa mashabiki...

WAKATI WA KUWATAMBUA WALIOKUWA WANALETA UJANJAUJANJA LWENYE MAZOEZI UNAWADIA

0
KAMA ambavyo kila siku nimekuwa nikisema, Juni Mosi, mwaka huu ndiyo michezo imeruhusiwa kuendelea hapa nchini baada ya kusimamishwa tangu Machi 17, mwaka huu.Sababu...

KURUDI KWA LIGI KUNA MAMBO BADO HAYAPO SAWA, TUSISAHAU CORONA IPO

0
ZIMEBAKI siku 13 kwa sasa kabla ya kuifikia Juni 13 ambapo vumbi ya Ligi Kuu Bara, Ligi Daraja la Kwanza na la Pili inatarajiwa...

MCHORO MZIMA WA KUWAREJESHA NYOTA WATATU WA SIMBA UPO HIVI

0
IMEELEZWA kuwa uongozi wa Simba umeanza kufanya mchakato wa kuwarejesha wachezaji wake watatu ambao wamekwama kutokana na mipaka yao kufungwa.Taarifa zinaeleza kuwa kwa sasa...

JAMES KOTEI ATAJWA KUMALIZANA NA YANGA MIAKA MIWILI

0
INAELEZWA kuwa kiungo wa zamani wa Klabu ya Simba aliyetwaa tuzo ya kiungo bora ndani ya Simba kwa msimu wa 2018/19 amesaini kandarasi ya...