KOCHA NA NYOTA WA AZAM FC UWEZEKANO WA KURUDI BONGO NI HAFIFU

0
NYOTA wengi wa kikosi cha kwanza cha Azam FC wapo nje ya nchi kwa sasa jambo linalowapasua kichwa mabosi wao.Razack Abarola, Yakub Mohamed,Nevere Tigere...

MITAMBO HII MITATU NDANI YA SIMBA IMELETWA LEO

0
LEO, Mei 7,2020 majembe matatu yote mali ya Simba yanakumbuka siku yao ambayo yaliletwa duniani na kuanza kuziyeyusha siku ambazo wamepewa na Mungu.Beki kiraka...

NI BALAA PACHA INAYOWINDWA NA YANGA ACHA KABISA

0
IKIWA imetupia mabao 31 msimu huu ndani ya Ligi Kuu Bara, washambuliaji wanne wa Yanga wametupia mabao 13 wakipotezwa na ile pacha ya Namungo...

WANA MICHEZO WANA NGUVU KUBWA KULIKO HATA WANASIASA IWAPO WATAFANYA HIVI

0
Mwandishi Saleh Ally Jembe amesema wanamichezo wana nguvu kubwa ya kupambana na Corona kuliko hata wanasiasa.Akihojiwa na ETv, Salehjembe amesema anaona wanamichezo wengi wakiwemo...

SANCHEZ MAMBO MAGUMU MPAKA INTER MILAN

0
ANTONIO Conte, Kocha Mkuu wa Inter Milan inaelezwa kuwa hana mpango wa kumsajili moja kwa moja nyota wa Manchester United, Alexis Sanchez anayecheza kwa...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI, LIPO MTAANI

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi, lipo mtaani jipatie nakala yako jero tu

MAJEMBE HAYA MAWILI YA KAZI AYAKUBALI AJIBU

0
IBRAHIM Ajibu, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa miongoni mwa wachezaji ambao alikuwa na muungano nao bora ndani ya uwanja ni pamoja na Obrey...

THAMANI YA MZAMBIA ANAYEWINDWA NA SIMBA LAZIMA UKAE

0
 JUSTIN Shonga,mshambuliaji wa kimataia wa Zambia ni miongoni mwa wachezaji ghali sokoni hivyo kibongobongo kuvunja benki ili kuipata saini yake lazima ukae.Mzambia huyo amekuwa...

ISHU YA MAZEMBE KWA AJIBU ILIWEKWA MIKONONI MWA SAMATTA

0
IBRAHIM Ajibu, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa dili lake la kutua Simba aliwashirikisha ndugu zake pamoja na nahodha wa timu ya Taifa ya...

HILI HAPA KOSI MATATA LA YANGA LITAKAVYOKUWA

0
HESABU za Yanga iwapo zitakubali kuwapa nyota wale ambao inaelezwa kuwa wapo kwenye mpango wa kusajili msimu ujao basi hili jeshi la Yanga litakuwa...