KAGERE AMEKUMBUKA MPIRA, CORONA YAMFANYA ASHINDE NDANI
MEDDIE Kagere, mshambuliaji namba moja ndani ya Klabu ya Simba amesema kuwa kwa sasa hakuna anachokifanya nchini Rwanda zaidi ya kujifungia ndani kuchukua tahadhari...
KIUNGO YANGA AOMBA MKATABA SIMBA
KIUNGO wa zamani wa Yanga, Mbrazil, Andrey Coutinho, ameibuka na kuwaambia viongozi wa Simba kuwa yupo tayari kurejea nchini kujiunga na timu hiyo.Coutinho anayekipiga...
HESABU ZA KAGERA SUGAR ZIPO NAMNA HII, CORONA ILITIBUA MAMBO
BADO mambo hajawa shwari kwa sasa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vinaendelea kusambaa kwa kasi duniani huku shughuli nyingi zikiwa zimesimamishwa.Timu...
PSG YAPELEKA UBINGWA KWA MADAKTARI WANAOPAMBANA NA CORONA
NAHODHA wa PSG, Thiago Emiliano da Silva amesema kuwa wameshinda ubingwa wa maajabu ambao ni mali ya madaktari dunia nzima.PSG walitangazwa kuwa mabingwa wa...
KWA MAJEMBE HAYA, YANGA YAPEWA TANO
BEKI wa kulia wa Yanga, ambaye ni nahodha msaidizi, Juma Abdul, ameupongeza uongozi wa timu hiyo katika harakati zake za kutaka kuwasajili Relliants Lusajo...
MCHEKA NYAVU NAMBA MOJA NDANI YA MBAO FC ATAJA KINACHOMBEBA
MIONGONI mwa wazawa ambao wana urafiki na nyavu ni ndani ya Ligi Kuu Bara ni pamoja na Wazir Jr anayekipiga ndani ya Mbao FC.Mbao...
ARSENAL MAMBO BADO, MAKOCHA WATATU WAMEIFUNDISHA MPAKA SASA
MAKOCHA watatu tayari washapita ndani ya Arsenal ambayo bado haijakaa sawa kwenye mahesabu ya kutwaa taji la Ligi Kuu England.Bosi mkubwa Arsene Wenger alidumu...
CORONA IMEFUTA LIGI ZA NCHI HIZI HAPA MSIMU WA 2019/20
KUTOKANA na janga la Virusi vya Corona kwenye ulimwengu wa soka kuna nchi ambazo zimefuta msimu wa 2019/20.Miongoni mwa hizo ni pamoja naUganda Kenya Liberia Angola SeychellesEhiopia Ufaransa Congo Niger
MASHINE MPYA YA NKANA ITAKAYOTUA YANGA INA KAZI YA KULA SAHANI MOJA NA VICHWA...
MUSSA Mohamed, beki anayekipiga ndani ya Klabu ya Nkana FC ambaye amesema kuwa amezungumza na mabosi wa Yanga juu ya kusaini dili la kujiunga...
SASA KUMEKUCHA, LIGI KUU ENGLAND KUREJEA JUNI, YOU TUBE WAWEKA MKONO
LIGI Kuu England inatarajiwa Kurejea mwezi Juni itakuwa ikionyeshwa live pia kwenye mtandao wa You Tube baada ya mabosi kukutana na kukubaliana kwamba mambo...