AJIBU AMERUDI,AFUNGA BAO LA KIDEO SIMBA IKISHINDA MABAO 3-1 MBELE YA KMC
IBRAHIM Ajibu, kiungo mshambuliaji wa Simba leo amefunga bao la kideo dakika za usiku wakati Simba ikiifunga mabao 3-1 KMC kwenye mchezo wa kirafiki...
KIPIGO WALICHOPOKEA YANGA CHA MABAO 3-0 MBELE YA KMC NI FAIDA KWAO
Na Saleh AllyNINAAMINI mechi ya kirafiki dhidi ya KMC jana imekuwa na faida kubwa sana kwa Yanga na hasa benchi la ufundi.Kwa mashabiki kimekuwa...
KIPINDI CHA PILI: SIMBA 1-1 KMC
MCHEZO wa kirafiki kati ya Simba na KMC Uwanja wa Simba Mo Arena kwa sasa ni kipindi cha pili.KMC ilianza kufunga bao la kwanza...
KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA KMC MCHEZO WA KIRAFIKI
Kikosi cha Simba dhidi ya KMC mechi ya kirafiki, Uwanja wa Simba Mo ArenaKIKOSI1. Aishi Manula2. Haruna Shamte3. Gadiel Michael4. Kennedy Juma5. Pascal Wawa6....
SIMBA SC vs KMC | Live stream on HD
Tazama mechi ya kirafiki kati ya Simba SC na KMC kupitia live stream link hapo chini.Link 1 | Link 2 | Link 3 |...
MWADUI FC YAPANIA KUBAKI KWENYE LIGI MSIMU UJAO
UONGOZI wa Mwadui FC umesema kuwa unajipanga kupata matokeo chanya kwenye mechi zake zilizobaki ndani ya Ligi Kuu Bara ili kubaki ndani ya ligi...
YANGA WATAJA SABABU YA KUCHAPWA MABAO 3-0 NA KMC
CHARLES Mkwassa, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa kichapo cha mabao 3-0 mbele ya KMC jana umetokana na makosa yao wenyewe waliyoyafanya ndani ya uwanja.Mchezo...
KMC KUTESTI MITAMBO YAKE MBELE YA SIMBA LEO
BAADA ya jana KMC kushinda mabao 3-0 mbele ya Yanga kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Uhuru, leo Juni 8 wanatarajia kukutana na...
MALENGO YA BIASHARA UNITED NI TANO BORA, YAWAOMBA WADAU KUIPA SAPOTI
SELEMAN Mataso, Mwenyekiti wa Klabu ya Biashara United amesema kuwa mipango mikubwa iliyo ndani ya klabu hiyo ni kupambana kumaliza ligi ikiwa ndani ya...