TUJIKUMBUSHE MAKOCHA WALIOSEPA NA TUZO NDANI YA LIGI KUU BARA

0
HAWA hapa makocha ambao kabatini wana tuzo walizotwaa ndani ya Ligi Kuu Bara kabla ya Janga la Corona kuvurugavuruga dunia linavyotaka:-Salum Mayanga wa Ruvu...

YANGA:TULIUKUMBUKA MPIRA, TUTAPAMBANA

0
PAPY Tshishimbi, nahodha wa Yanga amesema kuwa yupo tayari kwa ajili ya kupambana ndani ya Ligi Kuu Bara ambayo ilisimama kutokana na janga la...

SIMBA: HAKUNA UADUI DHIDI YA YANGA

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hakuna uadui kati yao na Yanga bali ni ushindani tu ndani ya uwanja.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa...

YANGA YATOA TAMKO KUHUSU KUREJEA KWA LIGI KUU BARA

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umepokea kwa mikono miwili suala la Ligi Kuu Bara kurejea jambo ambalo wanaamini watapata bingwa kihalali.Ligi Kuu Tanzania Bara...

TIMO WERNER AZICHANGANYA LIVERPOOL NA CHELSEA

0
MTUPIAJI ndani ya RB Leipzig, Timo Werner yupo kwenye hesabu za Chelsea pamoja na Liverpool.Vigogo hao wa England wanapambana kupata saini ya nyota huyo...

SIMBA YATAKA KUBEBA MATAJI MAKUBWA MAWILI

0
MTENDAJI Mkuu wa Simba, Senzo Mbatha amesema kuwa mpango mkubwa uliopo kwa timu hiyo ni kupambana kupata mataji makubwa mawili msimu huu wa 2019/20.Mabingwa...

TARIMO AWASHUKURU WATANZANIA AWAOMBA WAMFUATE INSTAGRAM

0
BRUNO Tarimo maarufu kama Vifuaviwili amesema kuwa anawashukuru watanzania kwa sapot wanayompa jambo linalomfanya apambane kupeperusha bendera ya Taifa.Kwa sasa Vifuaviwili ambaye ni bondia...

BODI YA LIGI KUKAA KIKAO KIZITO LEO

0
MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania TPLB, Almas Kasongo amefunguka kuwa leo watakuwa na kikao kizito na viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania...

HIKI NDICHO KILICHOZINDULIWA SAA SABA MCHANA SIMBA

0
UONGOZI wa Klabu ya Simba leo umezindua Website yake rasmi (Tovuti) kwa ajili ya kutanua wigo mpana wa kutoa taarifa kwa mashabiki wake.Tovuti hiyo...