GANZI YA CORONA INAPOONGEZEWA NA ILE YA BILIONI MOJA YA MAGUFULI LAZIMA UVURUGIKE
ULIMWENGU wa michezo ukiwa unapiga hesabu namna gani hali itakuwa shwari kwa sasa ndani ya Bongo kwa ligi kurejea kuna ganzi nyingine imeibuka tena.Ukiachana...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMOIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatatu
NYOTA HAWA 10 WAWEKWA KWENYE RADA ZA YANGA,WAPO WA KIMATAIFA NA WAZAWA PIA
YANGA inaelezwa kuwa ipo kwenye hesabu za kuboresha kikosi chake msimu ujao ambapo kuna nyota zaidi ya 10 wamewekwa kwenye rada kutua hapo msimu...
SHEVA AANZA KUREJEA KWENYE UBORA WAKE
KIUNGO mshambuliaji wa kikosi cha Simba, Miraji Athumani ‘Sheva’, ameonekana kuanza kurejea kwenye ubora wake akitokea kwenye maumivu ya misuli.Sheva yupo nje ya uwanja...
WINGA AS VITA AKUBALI KUTUA YANGA
WINGA machachari wa AS Vita, Tuisila Kisinda, amesema kuwa Yanga ndiyo timu ambayo ipo akilini mwake baada ya kufanikiwa kufanya mazungumzo ya awali na...
AZAM FC, SIMBA WAMKUMBUKA PATRICK MAFISANGO
PATRICK Mafisango mchezaji wa zamani wa Simba na Azam FC tarehe kama ya leo alitangulia mbele za haki kwa kupata ajali.Timu zote mbili Azam...
WACHEZAJI SIMBA WAPUNGUA KILO, KISA MAZOEZI SASA KAZI
IMEFAHAMIKA kuwa wachezaji wote wa Simba uzito wao umepungua kwa kiasi kikubwa baada ya kufanyiwa vipimo na kugundulika kutokana na mazoezi mazito wanayoendelea kuyafanya.Wachezaji...
SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU KUREJEA LIGI
RAIS wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amesema idadi ya wagonjwa wa Virusi vya Corona katika vituo vilivyotengwa imepungua sana, hivyo anaangalia wiki inayoanza...
HUYU HAPA ANATWAA MIKOBA YA LUC EYMAEL WA YANGA
MABOSI wa Klabu ya Yanga wamechungulia mbali na kuona ligi inaweza kurejea hivi karibuni lakini bila ya kuwa na makocha wao wawili, Kocha Mkuu...
GUARDIOLA ANAREJEA BARCELONA
WINGA wa zamani wa Barcelona, Trevor Sinclair amesema kuwa huenda kocha huyo akarejea ndani ya klabu hiyo.Guardiola yupo zake ndani ya Manchester City na...