Habari za Yanga SC

BANDA AFUNGUKIA ISHU YA LIGI YA AFRIKA KUSINI KUFUTWA

0
ABDI Banda beki kutoka Bongo anayekipiga ndani ya Highlands Park inayoshiriki Ligi Kuu nchini Afrika Kusini amesema kuwa kama ligi yao itafutwa fresh tu...

ARGUERO NI CHUMA CHA MABAO NDANI YA CITY

0
SERGIO Arguero, mshambuliaji wa Manchester City ana balaa ndani ya uwanja ambapo jumla akiwa ametumia dakika 27,033 amefunga mabao 254.Mabao hayo ni kwenye michuano...

KOCHA SIMBA AMPA MAKAVU CHILUNDA WA AZAM FC

0
JAMHURI Kihwelo ‘Julio’, kocha wa zamani wa Simba amesema kuwa mchezaji wa Azam FC, Shabani Idd Chilunda, ni mfano mzuri wa wachezaji wengi wa...

HASSAN DILUNGA AANZA KUAGA SIMBA

0
HASSAN Dilunga, kiungo mshambuliaji wa Simba amewaaga mabosi wa klabu hiyo baada ya kutamka kwamba kwa msimu ujao ndoto zake ni kwenda kutafuta changamoto...

JACK GREALISH ANAITAMANI MANCHESTER UNITED

0
JACK Grealish, kiungo wa Aston Villa ambaye ni nahodha wa Mbwana Samatta ameonyesha nia ya kujiunga na Klabu ya Manchester United ambayo inaelezwa kuwa...

AMIS TAMBWE ANATAKA KURUDI YANGA

0
MSHAMBULIAJI wa zamani wa klabu za Simba na Yanga, Mrundi Amiss Tambwe amefunguka kuwa bado ana ndoto za kurejea Yanga.Tambwe anasema katika moyo wake...

HAYA NDIO MABAO ANAYOYATAKA NYOTA HUYU WA SIMBA

0
KIUNGO wa Simba, Luis Miquissone amesema kuwa amekuwa akifanya mazoezi ya kupiga mashuti ya mbali katika kipindi hiki cha Corona kwa kuwa anatamani kuona...

KAGERE, HITIMANA MAMBO BADO MAGUMU KWAO

0
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC na mshambuliaji namba moja wa Simba, Meddie Kagere mwenye mabao 19, wote raia wa Rwanda mambo kwao...

RASTA ANAYEZICHANGANYA SIMBA, YANGA NA AZAM FC ATAJA ATAKAPOMWAGA WINO

0
BARAKA Majogoro, Kiungo wa Polisi Tanzania amesema kuwa msimu ujao ana imani atabaki ndani ya timu yake hiyo kwa kuwa ina nafasi kubwa ya...

YANGA YATAJA SABABU YA KUKAMIA MECHI KUBWA

0
NAHODHA wa Yanga, Papy Tshishimbi amesema kuwa sababu kubwa inayomfanya awe tofauti kwenye mechi kubwa za kitaifa na kimataifa ni maamuzi yake kutumia uwezo...