AFC ARUSHA YAIANGUKIA TFF
UONGOZI wa Arusha FC,(AFC) inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza umeliomba Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) kuwakumbuka katika wakati huu wa janga la Corona kwa kuzipa...
MANULA NA KAKOLANYA UWANJANI WAPO NAMNA HII
AISHI Manula amekaa langoni kwenye mechi 21 za Ligi Kuu Bara.Beno Kakolanya amekaa langoni kwenye mechi saba. Simba ikiwa imecheza mechi 28 imefungwa mabao 15.Manula...
BADO ANAKUMBUKWA HISTORIA YAKE ITABAKI PALEPALE SIR FERGUSON
KWENYE maisha yake ya kuwa Kocha Mkuu, jana, Mei 8, 2013 miaka saba iliyomeguka alitangaza kustaafu kwenye nafasi yake aliyokuwa. Sir Alex Ferguson alitangaza kujiuzulu...
CHAMPIONI TUNAENDELEA KUJALI VITA DHIDI YA CORONA KWA VITENDO
TUNATAMBUA umuhimu wa afya za wasomaji wetu pamoja na Watanzania wote kwa ujumla. Tunajua janga la Virusi vya Corona ni adui wa afya na...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI, LIPO MTAANI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi, lipo mtaani nafasi ya kushinda ndinga ni yako
MSHAMBULIAJI WA LIPULI ANAPIGA TIZI MARA MBILI KWA SIKU
PAUL Nonga nahodha wa Lipuli amesema kuwa kwa siku anapiga mazoezi mara mbili ili kulinda kipaji chake baada ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa kutokana...
NCHIMBI ANASHIKILIA REKODI YA KUWA MSHAMBULIAJI WA KWANZA KUFUNGA HAT TRICK
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga kwa msimu wa 2019/20 anashikilia rekodi ya kuwa mshambuliaji wa kwanza kufunga hat trick.Aliwatungua Yanga ambao ni mabosi wake...
THOMAS PARTEY ATAKA KUIBUKIA ARSENAL
THOMAS Partey, kiungo wa Atletico Madrid amesema kuwa anataka kujiunga na Klabu ya Arsenal msimu ujao.Partey amewekwa kwenye hesabu za Arsenal iliyo chini ya...
NYONI AWAOMBA WATANZANIA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA
ERASTO Nyoni, beki kiraka ndani ya Simba amewaomba watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.Akizungumza na Saleh Jembe, Nyoni amesema kuwa janga...
SON WA TOTTENHAM NOMA, AFANYA KWELI JESHINI
MSHAMBULIAJI wa Tottenham Hotspur, Heung-Min Son, amefanikiwa kumaliza mafunzo ya kijeshi huko kwao Korea Kusini.Katika mafunzo hayo ya wiki tatu, mshambuliaji huyo tegemo wa...