POCHETTINO KURUDI TENA SPURS
MAURICIO Pochettino, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Tottenham Spurs amesema kuwa bado ndoto yake ya kurejea ndani ya klabu hiyo ipo palepale ili...
SIMON MSUVA AMEKUMBUKA KUSHANGILIA BAO
SIMON Msuva mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga ndani ya Klabu ya Difaa El Jadida inayoshiriki Ligi Kuu nchini Morroco amesema kuwa amekumbuka kufunga...
AZAM FC WANATAKA MAJEMBE YA KAZI MATATU
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amewaambia mabosi wake kuwa anahitaji kusajili majembe matatu ya kazi kwa ajili ya msimu ujao wa 2020/21.Miongoni...
BERNARD MORRISON ATAOA AHADI HII KWA MASHABIKI, AWAOMBA WAENDELEE KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa anaamini ligi ikirejea atawaonyesha mambo mazuri mashabiki ambayo walikuwa wameyakosa kwa muda mrefu.Kwa sasa Ligi Kuu...
MCHEZAJI HUYU SIMBA ALIKUWA ANAMPASUA KICHWA SVEN
SVEN Vandenbroec, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa miongoni mwa vitu ambavyo vilikuwa vinampasua kichwa ni kukosa huduma ya Miraj Athuman,' Sheva'. Sheva alikuwa kwenye...
BEKI WA IVORY COAST ANAYEKIPIGA SIMBA ATAJA ANACHOHOFIA
PASCAL Wawa, beki kisiki wa Klabu ya Simba amesema kuwa anamuhofia Mungu ambaye ndiye anamuamini katika kila jambo.Wawa raia wa Ivory Coast anaiongoza safu...
MTUPIAJI ANAYETAJWA KUTUA YANGA AJIPA DOZI MBIILI KWA SIKU
PAUL Nonga nahodha wa Lipuli amesema kuwa kwa siku anapiga mazoezi mara mbili ili kulinda kipaji chake baada ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa kutokana...
SIMBA YATOA NENO KWA WATANZANIA
ERASTO Nyoni, beki kiraka ndani ya Simba amewaomba watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.Nyoni amesema kuwa kwa sasa ni muhimu kila...
NAHODHA YANGA AWA MKIMBIZA UPEPO
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga amesema kuwa mbali na kufuata program aliyopewa na Kocha Mkuu Luc Eymael anapenda kufanya zoezi la kukimbia ili...
KIUNGO ANAYEWINDWA NA SIMBA ATOA LA MOYONI
BARAKA Majogoro, kiungo mwenye rasta kichwani anayekipiga Polisi Tanzania inaelezwa kuwa anawindwa na Simba amesema kuwa neno kubwa kwa watanzania ni kuchukua tahadhari dhidi...