AHMED ALLY AINGILIA KATI ISHU YA DUBE NA AZAM…”ASHTAKIWE HUO NI UZEMBE
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kuwa kitendo cha mshambuliaji wa Klabu ya Azam, Prince Dube kutokuwepo kwenye kikosi...
UONGOZI WA SIMBA SC WATEGWA NA MGUNDA…SIRI ZA BALUA NA CHASAMBI ZAWEKWA HADHARANI
Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC ni kama ameutega Uongozi wa Klabu hiyo, katika kipindi hiki ambacho wanamsaka Kocha Mkuu atakayekabidhiwa kikosi kwa ajili...
SIMBA NA WYDAD KUPAMBANIA SAINI YA KIUNGO HUYU…KOCHA ATHIBITISHA
Kocha Mkuu wa FC Nouadhibou, Aritz López Garai ameweka wazi kuwa kiungo wa timu hiyo Mohsine Bodda anajiandaa kuondoka ndani ya kikosi hicho mwishoni...
SHABIKI SIMBA AMJIA JUU MGUNDA…”HANA MAAJABU YOYOTE…YANGA NDIO KIPIMO
Shabiki wa Klabu ya Simba, Nabii Meja anasema kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda hana maajabu yoyote ndani ya timu hiyo kwa...
AZAM FC WAKUBALI KUCHEZA CHINI YA KIWANGO…WAKUBALI KIWANGO CHA SIMBA
Ofisa Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Zakazakazi amesema wamekubali wamecheza chini ya kiwango na kugusia kwamba katika mchezo wa jana Simba SC wamekuwa...
SIMBA WALITUMIA MBINU HIZI KUWAMALIZA AZAM…FEISAL AKWEPA MSALA HUU
Aina ya mechi ambayo ilikuwa inahitaji nani atatumia nafasi zake? Maana ilikuwa wazi sana, spaces zipo nyingi sana, ni ishu ya nani atakuwa mfanisi...
KUMBE HII NDIO SIRI YA MUDATHIR YANGA…KOCHA GAMONDI AFANYA HAYA
Kuna siri kubwa nyuma ya mabao anayofunga kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya ambayo itawafunza wachezaji wengine kuzingatia baadhi ya mambo wanayoambiwa na makocha.
Mwanaspoti limebaini...
HAYA HAPA MAAJABU YA MGUNDA SIMBA…WAKONGWE WAMPIGIA SALUTI
Furaha imerejea Simba. Mabadiliko yaliyofanywa kwenye benchi la ufundi na kumrejesha Juma Mgunda yameanza kulipa.
Ametumia mechi nne tu kubadilisha mambo ndani ya klabu na...
WAKATI MSIMU UNAISHA NA HAJACHEZA SANA….SKUDU AFUNGUKA HILI KWA YANGA…
Kuelekea mechi tano zilizobaki za Ligi Kuu ya NBC, nyota wa kikosi cha Yanga, Skudu Makudubela amesema wao kama wachezaji watazicheza mechi hizo kama...
MZEE DALALI:- MGUNDA ANA OFA NYINGI ZA KWENDA ULAYA….ANAWEZA KWENDA MAN UNITED…
Mjumbe wa Bodi ya Simba, Mzee Hassan Dalali amesema kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Juma Mgunda ni kocha bora na anafaa...