BEKI HUYU MZAWA AINGIA ANGA ZA SIMBA, KUKIPIGA NA KAPOMBE

0
Kibwana Shomari, beki wa kulia wa Mtibwa Sugar inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za Mabingwa watetezi Simba ambao wanaiwinda saini yake.Simba ina hesabu za...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi 

SADIO MANE ANAZIDI KUIPASUA KICHWA LIVERPOOL

0
SADIO Mane, nyota wa Senegal anayekipiga ndani ya Liverpool anazidi kuivuruga timu yake kutokana na mabosi wa Real Madrid kuendelea kusisitiza kuwa wanahitaji saini...

SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU KUFUTWA KWA LIGI KUU BARA

0
UONGOZI wa Simba umesma kuwa hauna mashaka iwapo Ligi Kuu Tanzania Bara itafutwa kwani wanaamini haki yao ya kuwa was kimataifa itabaki kwao na...

YANGA YAWAOMBA MASHABIKI KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI

0
PAPY Kambamba Tshishimbi, nahodha wa Yanga amesema kuwa ni muhimu kila mmoja kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona ambavyo ni janga la dunia...

PAMBA SC YAUNGANA NA MBUNGE MABULA KUPAMBANA NA CORONA KWA VITENDO

0
KLABU ya Pamba Sport Club ya Mwanza kwa kushirikiana na Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo la Nyamagana wamekabidhi uongozi wa Soko Kuu Mwanza Mbugani, vifaa ...

MECHI 100 ZA SALAH ZINA MSOTO WA KUTOSHA BALAA

0
MOHAMED Salah, raia wa Misri, nyota wa Liverpool amecheza mechi 100 ndani ya Liverpool tangu ajiunge nayo mwaka 2017 akitokea Klabu ya Roma ametupia...

KAHATA: NINAAMINI TUTAPITA SALAMA KATIKA HILI

0
FRANCIS Kahata, kiungo mshambuliaji ndani ya Klabu ya Simba amesema kuwa imani yake ni kwamba siku moja kila kitu kitakuwa sawa kwa msaada wa...

KUNA WENYE MASLAHI MOLINGA AKIONDOKA, WATAFAIDIKA HIVI….

0
Na Saleh AllyWAKATI akisajiliwa Yanga, Kocha Mkuu wakati ule, Mwinyi Zahera alijigamba kuwa mshambulizi wake mpya, David Molinga atawaonyesha kazi. Baada ya muda, alimuweka kando...

TAYARI TALIB HILAL AMEFUNGUA NJIA, WANAMICHEZO RUDISHENI NYUMBANI VITA DHIDI YA CORONA

0
NA SALEH ALLYNILIKUWA naangalia kiungo kinda wa FC Barcelona, Moussa Wague alivyoamua kutoa misaada ya chakula na mafuta tani 12 katika eneo alilozaliwa la...