KAGERA SUGAR YAUKUMBUKA MPIRA

0
UONGOZI wa Kagera Sugar umesema kuwa umeukumbuka mpira baada ya kuukosa kwa muda mrefu kutokana na janga la Virusi vya Corona.Machi 17, Serikali ilisimamisha...

CORONA YAIVURUGAVURUGA KABISA MBAO FC

0
UONGOZI wa Mbao FC umesema kuwa umesitisha program zote kwa sasa kutokana na kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.Janga la Corona limeivuruga...

SIMBA WAVUNJA REKODI ZILIZOWEKWA NA AZAM FC PAMOJA NA YANGA

0
MABINGWA watetezi Simba msimu huu wa 2019/20 kabla hata Ligi Kuu Bara kuisha wamevunja rekodi mbili za mabingwa wa zamani ambao ni Yanga na...

MTUPIAJI NAMBA MOJA AKUBALI KUTUA YANGA MAZIMA

0
PAUL Nonga, mtupiaji namba moja ndani ya Klabu ya Lipuli amesema kuwa yupo tayari kusaini ndani ya Yanga iwapo ofa yao itakuwa inaeleweka kwani...

YANGA YAZIDIWA UJANJA KWA SIMBA YAPISHANA NA KIUNGO HUYU FUNDI WALIYEKUWA WAKIMPIGIA HESABU

0
IMEELEZWA kuwa Said Ndemla ameongezewa mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kukipiga kwenye klabu hiyo kwenye msimu ujao baada ya kufikia muafaka mzuri na...

GANZI YA CORONA INAPOONGEZEWA NA ILE YA BILIONI MOJA YA MAGUFULI LAZIMA UVURUGIKE

0
ULIMWENGU wa michezo ukiwa unapiga hesabu namna gani hali itakuwa shwari kwa sasa ndani ya Bongo kwa ligi kurejea kuna ganzi nyingine imeibuka tena.Ukiachana...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMOIONI JUMATATU

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatatu

NYOTA HAWA 10 WAWEKWA KWENYE RADA ZA YANGA,WAPO WA KIMATAIFA NA WAZAWA PIA

0
YANGA inaelezwa kuwa ipo kwenye hesabu za kuboresha kikosi chake msimu ujao ambapo kuna nyota zaidi ya 10 wamewekwa kwenye rada kutua hapo msimu...

SHEVA AANZA KUREJEA KWENYE UBORA WAKE

0
KIUNGO mshambuliaji wa kikosi cha Simba, Miraji Athumani ‘Sheva’, ameonekana kuanza kurejea kwenye ubora wake akitokea kwenye maumivu ya misuli.Sheva yupo nje ya uwanja...

WINGA AS VITA AKUBALI KUTUA YANGA

0
WINGA machachari wa AS Vita, Tuisila Kisinda, amesema kuwa Yanga ndiyo timu ambayo ipo akilini mwake baada ya kufanikiwa kufanya mazungumzo ya awali na...