MARTIN APANIA KUFANYA MAKUBWA NDANI YA BARCA

0
STRAIKA wa Barcelona, Martin Braithwaite  amesema anataka kukaa ndani ya klabu hiyo kwa muda mrefu zaidi ya mkataba ambao anao kwa sasa kwa kuhakikisha ainafanya...

SIMBA WAIJIBU KIBABE YANGA, NI KUHUSU SAINI YA BEKI CHIPUKIZI WA COASTAL UNION

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hauwezi kushindwa kupata saini yoyote ya mchezaji anayekipiga ndani ya timu za Bongo kwa sasa kutokana na kujipanga kiuhakika.Kauli...

KINACHOMSOTESHA BENCHI KABWILI HIKI HAPA

0
RAMADHAN Kabwili, mlinda mlango namba tatu wa Yanga amesema kuwa kinachomkosesha namba ndani ya kikosi hicho ni ushindani wa namba pamoja na chaguo la...

KIUNGO MKANDALA AZICHONGANISHA AZAM NA NAMUNGO

0
AZAM FC na Klabu ya Namungo zipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya kiungo Cleophance Mkandala anayekipiga ndani ya Tanzania Prisons.Kiungo huyo amekuwa kwenye...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili

MAJEMBE HAYA YA KAZI MAWILI KUMALIZANA NA SIMBA

0
MWEKEZAJI wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ ameonekana kupania kuwabakisha mastaa wake wote muhimu wanaomaliza mikataba yao, na sasa ni zamu ya kiungo mkabaji Mzamiru...

SABABU ZA OBREY CHIRWA KUPIGWA PINI AZAM FC HIZI HAPA

0
OBREY Chirwa, mshambuliaji wa Azam FC ameongeza kandarasi ya mwaka kuendelea kuitumikia Azam FC huku ikitajwa kuwa sababu kubwa ni kuthamini mchango wa nyota...

NAMNA KOCHA WA SIMBA NA GLOBAL GROUP WALIVYOENDELEA KUTOA MISAADA KWA WAHITAJI, LEO ILIKUWA...

0
KAMPUNI ya Global Publishers leo imefanikiwa kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Masjid-Ngamia kilichopo Kangaye,Wilayani Ilemela jijini mwanza.katika...

UNAAMBIWA KELVIN YONDANI ANATISHA BALAA,KESHO NDANI YA SPOTIXTRA JUMAPILI

0
Kesho ndani ya Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili usipange kukosa nakala yako Jero tu