TAMBWE ATOA NENO YANGA NI KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
KESHO ndani ya Championi Jumamosi

HIMID MABO: BADO NINAPIGA MAZOEZI NDANI, KIKUBWA DUA TUWE SALAMA

0
HIMID Mao, nyota anayekipiga Klabu ya ENPPI ya Misri inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo amesema kuwa licha ya kuwepo kwa Virusi vya Corona bado...

KIUNGO HUYU WA SIMBA PANGA LINAMHUSU MAZIMA

0
SAID Ndemla, nyota wa Simba yupo kwenye hatihati ya kuachwa na mabosi wake hao kutokana na kushindwa kufurukuta ndani ya klabu hiyo kwa sasa.Ndemla...

MANARA: CORONA IMETIBUA DILI LA WAZUNGU KUJA BONGO

0
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa Ugonjwa wa Covid-19 unaonezwa na Virusi vya Corona umetibua dili lake la kuwaleta nchini Wazungu wa...

HIZI NDIZO TIMU ALIZOKIPIGA NYOTA MWENYE RASTA ANAYEWINDWA NA YANGA

0
YASSIN Salum beki wa Polisi Tanzania anayekipiga ndani ya Polisi Tanzania mwenye rasta kichwani mabosi wa Yanga inaelezwa kuwa wamemuweka kwenye hesabu ili kuipata...

BEN CHILWELL WA LEICESTER AINGIA ANGA ZA CHELSEA

0
BEN Chilwell nyota wa Leicester City ameingia kwenye hesabu za kuwaniwa na Klabu ya Chelsea ili akaongeze nguvu ndani ya kikosi hicho kinachoshiriki Ligi...

MNATA: YANGA KUNA USHINDANI WA NAMBA

0
METACHA Mnata, mlinda mlango namba mbili wa Yanga amesema kuwa ndani ya kikosi hicho kuna ushindani mkubwa wa namba jambo linalomfanya azidi kupambana kuwa...

UONGOZI WA SIMBA: TULISTAHILI KUFUNGWA NA YANGA, BOSI MMOJA ALISHINDWA KUMALIZA KUUTAZAMA MCHEZO

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa Yanga walistahili kushinda mechi yao iliyochezwa Machi 8 Uwanja wa Taifa kutokana na kuwazidi mbinu.Yanga iliwashinda Simba kwa kuifunga...

MABOSI YANGA WATUMA UJUMBE MZITO SIMBA, KISA TSHISHIMBI

0
WANAFAMILIA wa Yanga ambao ni mabosi pia Kampuni ya GSM imesema kuwa iwapo kuna klabu ndani ya Bongo ama nje ya nchi itahitaji saini...