MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMIS

0
Muonekano wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SpotiXtra Alhamisi lipo mtaani

PASCAL WAWA: TUCHUKUE TAHADHALI NA CORONA

0
BEKI kisiki wa Simba, Pascal Wawa, amesema kuwa Virusi vya Corona siyo vya kuchukulia utani, ni lazima kila mmoja achukue tahadhari.Wawa amesema kuwa kwa...

JUVENTUS WAISAKA SAINI YA MTUPIAJI HARRY KANE

0
HARRY Edward Kane nyota wa Spurs anasumbuliwa na msuli wa nyama za paja jambo lililomuweka nje ya Uwanja kwa muda mrefu .Amezaliwa Julai 28,1993,...

SURE BOY WA AZAM FC RUKSA KUIBUKIA YANGA

0
SALUM Abubakar ‘Sure Boy’ amepewa ruhusa ya kujiunga na Yanga ama klabu yoyote inayomuhitaji kama wataenda mezani na kuafikiana kuhusu dau.Sure Boy amecheza kwa mafanikio makubwa...

LIVERPOOL YAJIPANGA KUMREJESHA NYOTA WAO WA ZAMANI STERLING WA CITY

0
IMERIPOTIWA kuwa timu ya Liverpool ipo kwenye mpango wa kumrejesha nyota wao wa zamani Raheem Sterling anayekipiga ndani ya Manchester City pamoja na timu...

MECHI KALI ZA NIYONZIMA ALIPOKUWA SIMBA HIZI HAPA

0
HARUNA Niyonzima alipokuwa akikipiga Simba msimu wa 2018/19 alifeli kucheza mechi nyingi kutokana na majeraha ya kifundo cha mguu na alikaa nje ya Uwanja...

NIYONZIMA WA YANGA ATAJA KILICHOMFELISHA SIMBA

0
HARUNA Niyonzima, raia wa Rwanda anayekipiga ndani ya Yanga kwa sasa amesema kuwa kilichomfelisha kucheza mechi nyingi alipokuwa ndani ya Simba ni majeraha.Alipokuwa akikipiga...

BARCELONA BADO INA HESABU ZA KUINASA SAINI YA NEYMAR

0
NEYMAR da Silva Santos Júnior nyota wa PSG inayoshiriki Ligue 1 yupo kwenye hesabu za kurudishwa ndani ya Barcelona.Akiwa ndani ya PSG ametupia mabao 13 na...

MAJUU MWENDO WA 11 UPO NAMNA HII

0
WAKATI La Liga ikiwa imesimama kutokana na kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corna kuna wachezaji ambao wametupia mabao 11 ndani ya klabu zao.Mwendo...