FEI TOTO: NINACHUKUA TAHADHARI YA CORONA NA KUFANYA MAZOEZI

0
KIUNGO Mkabaji wa timu ya Yanga, Feisal Salum, 'Fei Toto' amesema kuwa kwa sasa anaendelea kufanya mazoezi ili kuwa bora na anachukua tahadhari ya...

BALAA LA LEWANDOWSKI LIPO NAMNA HII

0
ROBERT Lewandowski nyota anayekipiga ndani ya klabu ya Bayern inayoshiriki Bundeslinga anakimbikza kwa kucheka na nyavu.Amefunga mabao 25 amecheza mechi 23 na ametoa pasi...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA BETIKA, JIPATIE NAKALA YAKO NI BURE

0
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la BETIKA, lipo mtaani nakaa yake ni bure kabisa

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano, lipo mtaani una nafasi ya kujishindia ndinga

KOCHA LIVERPOOL ATAJA KINACHOMBEBA SALAH

0
MOHAMED Salah Hamed Mahrous Ghaly ndio jina lake huyu nyota anayekipiga ndani ya Liverpool akiwa ni raia wa Misri na anakipiga pia kwenye timu...

HUYU HAPA ANAMKIMBIZA CR 7 KWA MTINDO HUU

0
SERIE A Ligi Kuu ya Italia kwa sasa imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Mpaka inasimama vinara wao kwa utupiaji huku Ciro akimkimbiza Cr...

AZAM FC YAMTAKA BOCCO KUREJEA NYUMBANI

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa ni wakati wa nahodha wa Simba, John Bocco kurejea Azam FC kwa kuwa ndio maskani yake ilipo.Bocco alijiunga...

KIUNGO MPYA WA AZAM FC APEWA PROGRAMU YAKE ILI KUFANYA MAKUBWA

0
KLABU ya soka ya Azam imempatia programu maalumu ya mazoezi mchezaji wake aliyesajiliwa katika dirisha dogo la mwezi Januari, Khleffin Hamdoun ili kuzoea utamaduni...

DITRAM NCHIMBI: NINACHUKUA TAHADHARI YA CORONA NA KULINDA KIPAJI

0
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kwa sasa anaendelea na programu aliyopewa na Kocha Mkuu Luc Eymael ili kulinda kipaji chake.Ligi Kuu Bara...

HAWA HAPA WANAHUSIKA KWENYE MABAO YA MUUAJI WA SIMBA

0
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa mabao yake yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na dua maalum ambazo zinafanywa na mke wake pamoja na...