VIDEO: MEDDIE KAGERE AKIJIFUA SEBULENI
MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere akiwa Kwenye mazoezi binafsi sebuleni wakati huu wa kujilinda dhidi ya Virusi vya Corona
ALIYEWAPIGA HAT TRICK SINGIDA UNITED ATAJA KINACHOMBEBA
KELVIN Sabato, nyota anayekipiga ndani ya kikosi cha Kagera Sugar amesema kuwa katika maisha yake ya soka amekuwa ni muumini mkubwa wa kujituma ndani...
MTUPIAJI POLISI TANZANIA AWAOMBA MASHABIKI KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA
SIXTUS Sabilo, mshambuliaji wa Polisi Tanzania amesema kuwa kwa sasa ni muhimu kwa kila mmoja kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona ili kuwa...
SIMBA YAWAPIGIA HESABU NYOTA HAWA WANNE, SVEN ATAJA SABABU
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anahitaji nyota wapya wanne ndani ya kikosi chake ambao wataongeza nguvu msimu ujao.Sven ambaye ameiongoza Simba kwenye mechi...
KUHUSU BILIONI 20 ZA MO NDANI YA SIMBA..A-Z YA MCHAKATO UPO HIZI
KAMATI ya kuratibu mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Simba imesema kuwa wanachama watalazimika kusubiri hadi miezi minne (siku 120) ili mchakato...
BAKARI MWAMNYETO ATAJA TIMU ATAKAYOKWENDA, UONGOZI WAFUNGUKIA ISHU YA SIMBA NA YANGA
NAHODHA wa timu ya Coastal Union, Bakari Mwamnyeto amesema yupo tayari kujiunga na klabu yoyote ndani na nje ya Tanzania japo sasa hivi anaheshimu...
KUMBE ISHU YA CHAMA KIGOGO SIMBA ALIPIGA SIMU YANGA
SARAKASI za usajili wa kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama imezua sura mpya baada ya kuelezwa kuwa, Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ kuwapigia...
KIUNGO WA BIASHARA UNITED AINGIA ANGA ZA KARIAKOO NAMNA HII
KIUNGO machachari ndani ya Klabu ya Biashara United, Novatus Dismas inaelezwa kuwa ameingia kwenye rada za timu tatu Bongo ambazo zinaiwinda saini yake.Lipuli ya...
PAMBA FC WAMEFUNGUA NJIA WENGINE TUFUATE, KATIKA HILI PONGEZI MNASTAHILI
WAKATI huu wa janga la maambukizi ya Virusi vya Corona timu nyingi zimeanza kuonyesha vita kwa vitendo jambo ambalo linahitaji pongezi na kuungwa mkono...