WALICHOMFANYA KIUNGO WA SIMBA LUIS MATAPELI ACHA KABISA
LUIS Miquissone nyota wa Simba amejikuta kwenye wakati mgumu kufuatia baadhi ya watu ‘matapeli’ kutumia jina lake katika mitandao ya kijamii kuomba pesa kwa...
THOMAS PARTEY KUIBUKIA ARSENAL MSIMU UJAO
THOMAS Teye Partey, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Atletico Madrid inayoshiriki La Liga inaripotiwa kuwa msimu ujao atajiunga na Klabu ya Arsenal inayoshiriki...
HASHEEM IBWE AWAOMBA WATANZANIA WAENDELEE KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA
HASHEEM Ibwe, mwandishi wa Habari za Michezo kutoka kituo cha Azam TV amesema kuwa kwa kipindi hiki ni muhimu kila mmoja kuchukua tahadhari kujilinda...
MTUPIAJI WA LIPULI HIKI NDICHO ANACHOKIFANYA KWA SASA
DARUESH Saliboko, nyota anayekipiga ndani ya Lipuli yenye maskani yake mkoani Iringa amesema kuwa kwa sasa anaendelea kufanya mazoezi binafsi ili kulinda kipaji chake...
BREAKING:ISHU YA CHAMA YATINGA TFF
KUTOKANA na Uongozi wa Yanga kudai kwamba umefanya mazungumzo na Clatous Chama, Simba wamekimbilia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)
ALLIANCE NI KIBOKO, YACHIMBISHA JUMLAJUMLA MAKOCHA WANNE
KLABU ya Alliance School yenye maskani yake mkoani Mwanza msimu huu wa Ligi Kuu Bara imeweka rekodi ya kuwachimbisha makocha wanne kazi mazima.Ikiwa kwa...
NYOTA WA MTIBWA SUGAR AJICHIMBIA FUKWENI KUPIGA MATIZI
ABDULHAMAN Humud, nyota anayekipiga Mtibwa Sugar amesema kuwa anaendelea kupiga mazoezi kwenye fukwe li kulinda kipaji chake.Akizungumza na Saleh Jembe, Humud amesema kuwa kwa...
BOB HAISA AREJEA NA PENZI LA KARAHA
BOB Haisa, msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye anaimba mtindo wa mduara amesema kuwa amerejea tena kwenye fani hiyo akiwa na kigongo kipya...
NIYONZIMA: AFYA NI MUHIMU, TUCHUKUE TAHADHARI
HARUNA Niyonzima, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa ni muhimu kwa kila mmoja kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona ili kuwa salama.Kwa sasa...
ISHU YA CHAMA, TAMKO LATOLEWA NA SIMBA, YANGA WAJIWEKA KANDO
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hakuna timu itakayomchomoa nyota wao raia wa Zambia kwa sasa, Clatous Chama kutokana na kuhitaji huduma yake.Kumekuwa na mvutano...