MGHANA ALIYEKUBALI KUTUA YANGA APANIA KUZIFUNGA ZOTE ATAKAZOKUTANA NAZO
MSHAMBULIAJI wa Rayon Sport ya Rwanda, Mghana, Michael Sarpong amefichua kuwa amekuwa akiskia ugumu wa Ligi Kuu Bara lakini haiwezi kumpa hofu kwani amepanga...
BEKI MKENYA AJIPELEKA MWENYEWE SIMBA ASAINI
MIKE Kibwage anayekipiga ndani ya KCB, raia wa Kenya ametuma ujumbe kwa mashabiki wa Simba kuwa atakuja kuichezea timu hiyo kama watampa ofa nzuri.Simba...
AISEE, SIJUI DILUNGA ULIKUWA WAPI, KAMA UMEAMUA, SASA AMKA UTEMBEE…
NA SALEH ALLYSIKU moja nilikuwa nazungumza na kiungo mkongwe ambaye alipata nafasi ya kucheza na Hassan Dilunga wakati wakiwa Yanga, akaniambia yule ni mtu...
NIANZIE NA KELVIN KONGWE, ELIMU YA MENEJA INAHITAJIKA KWA WACHEZAJI WETU
NA SALEH ALLYJUZI usiku niliona beki wa kati wa Namungo FC, Paul Bukaba akiitambulisha kampuni mpya ambayo atakuwa akifanya nayo kazi zake.Kampuni hii inajulikana...
GWAMBINA FC YAWAOMBA WADHAMINI WAJITOKEZE KUIPA SAPOTI
UONGOZI wa Gwambina FC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza umewaomba wadau kujitokeza kwa sasa kuipa sapoti timu hiyo ambayo inaamini mambo yakiwa sawa kwenye...
HAWA JAMAA KWA SARE NDO MPANGO KAZI WAO, ADOLF NDO KUBWA LAO
KWENYE Ligi Kuu Bara kabla haijasimamishwa kutokana na janga la Virusi vya Corona ushindani ulikuwa ni mkali mwanzo mwisho.Kuna baadhi ya timu ilikuwa ni...
MAJEMBE HAYA SITA YA KAZI YANAPIGIWA HESABU SIMBA
KIKOSI cha Simba kilicho chini ya Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck kinapiga hesbu kubwa za kuboresha safu yake ya ulinzi ikipiga hesabu kupata saini za...
FAROUK SHIKALO AZUNGUMZIA HATMA YAKE NDANI YA YANGA
FAROUK Shikalo, mlinda mlango namba moja wa Klabu ya Yanga amesema kuwa hana mashaka iwapo atapigwa chini msimu ujao ndani ya kikosi hicho.Nyota huyo...
DAVID SILVA APIGA HESABU ZA KUSEPA NDANI YA MANCHESTER CITY
DAVID Silva nyota wa kikosi cha Manchester City ambao ni mabingwa watetezi wa Kombe la Ligi Kuu England hatakuepo ndani ya timu hiyo msimu...
NALDO MAMBO YAMEGOMA KWENDA HUKO AZAM FC
IDD Seleman, 'Naldo' nyota anayekipiga ndani ya Azam FC kwa sasa mambo kwake yamekuwa magumu kwa kushindwa kucheka na nyavu kama zamani.Msimu uliopita wa...