GOR MAHIA YA KENYA WATANGAZWA KUWA MABINGWA KISA CORONA
SHIRIKISHO la Soka la Kenya, (KKF) limesema kuwa hakuna matumaini ya kuendelea na ligi kwa hivi karibuni na matokeo yake, Gor Mmahia wametajwa kuwa...
HESABU ZA AZAM FC ZIPO NAMNA HII
UONGOZI wa Azam FC, umesema kuwa mpango mkubwa uliopo kwa sasa ni kujenga kikosi imara kwa ajili ya mashindano ya kitaifa na kimataifa kwa...
CORONA KIPIMO CHA UKOMAVU WA WACHEZAJI
HALI sio shwari kwa sasa kwa kuwa mambo megi duniani yamesimama na hii inatokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vinaitikisa dunia.Kwenye kila...
MSHAMBULIAJI WA YANGA APANIA KUFANYA MAKUBWA, KIWANGO CHAKE ADAI HAKIJAMFURAHISHA
DITRAM Nchimbi, shambuliaji wa Yanga amesema kuwa kiwango alichokionyesha kwenye mechi za hivi karibuni akiwa ndani ya klabu hiyo kabla ya ligi kusimamishwa hajakifurahia...
KUHUSU KUPAMBANA NA CORONA WACHEZAJI FANYENI HIVI
MANAHODHA wa Bongo wakati wa kuzinduka na kuendeleza ile vita ya kupambana na adui Corona kwa vitendo ni sasa kwani hakuna muda mwingine ambao...
DIAMOND AMEANZA, WENGINE PIA NI WAKATI WA KUUNGANA NAYE, VITA NI YETU SOTE
WAKATI ule nakumbuka sio muda mrefu ngoma ya Kamwambie ilikuwa ni ya taifa ambapo kila kona ilikuwa inapigwa na watu wakawa wanaielewa.Sikupata tabu sana...
JUVENTUS WAMUOMBA RONALDO ASISEPE
CRISTIANO Ronaldo nyota anayekipigandani ya Juventus ameombwa na mabosi hao kutotimka kwenye kikosi hicho na adumu mpaka pale mkataba wake utakapomeguka.Ronaldo mkataba wake ndani...
KOCHA SIMBA ATOA LA MOYONI KUHUSU AJIBU
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroec amesema kuwa hana tatizo na kiungo wake mshambuliaji Ibrahim Ajibu na anaamini anaweza kuwa bora baadaye ikiwa ataongeza...
MTIBWA SUGAR YAKUMBUKA KASI YA LIGI KUU BARA
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa miongoni mwa vitu ambavyo unavikumbuka kwa sasa ni pamoja na ushindani wa Ligi Kuu Bara uliokuwa umeanza kushika...
MORRISON ACHEKELEA MAISHA NDANI YA YANGA
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison amesema kuwa anafurahia maisha yake ndani ya klabu hiyo kutokana na sapoti anayopewa kutoka kwa mashabiki, wachezaji na...