HATMA YA MLINDA MLANGO NAMBA MOJA WA AZAM FC MIKONONI MWA MROMANIA

0
RAZACK Abarola, mlinda mlango namba moja wa Klabu ya Azam FC hatma ya kubaki ndani ya Klabu ya hiyo ipo mikononi mwa Kocha Mkuu,...

MWILI JUMBA WA YANGA ATAJA KINACHOMFELISHA

0
MSHAMBULIAJI wa Yanga mwili jumba, Yikpe Gnamien amesema kuwa kilichompoza ashindwe kuonesha makeke yake hivi karibuni ni kukalishwa benchi kwa muda mrefu.Ingizo hilo jipya...

TUSIVISAHAU VIWANJA VYETU KWA SASA KISA CORONA

0
KWA Tanzania hakuna mchezo wa soka wowote ambao unaendelea kwa sasa na hii ni kutokana na janga la Virusi vya Corona. Ligi Kuu Bara pamoja...

MABOSI WA TIMU ZA ENGLAND HOFU TUPU

0
HOFU imeanza kutanda kwa mabosi wa timu mbalimbali zinazoshiriki Ligi Kuu England baada ya jana Serikali ya Ufarasa kufuta shughuli zote za mikusanyiko ikiwa...

HIKI NDICHO INAKIKOSA SIMBA NDANI YA LIGI KUU BARA

0
PASCAL Wawa, beki kisiki ndani ya Klabu ya Simba amesema kuwa ameukumbuka mpira kwa sasa pamoja na mashabiki.Wawa, raia wa Ivory Coast amekuwa mhimili...

DUH SASA SIMBA WAMEAMUA KUIPASUA YANGA, KUANZA NA HUYU MTUPIAJI NAMBA MOJA

0
INAELEZWA kuwa mabosi wa Simba wanaiwinda saini ya nyota wa Yanga, David Molinga ili kuongeza nguvu ndani ya kikosi chao kwa sasa.Habari zinaeleza kuwa...

MCHEKA NA NYAVU MATATA AJIPELEKA YANGA, ATAMBA KUTATUA TATIZO PALE KATI

0
DARUES Saliboko, mshambuliaji wa Lipuli amesema kuwa kikosi cha Yanga kinamhitaji mshambuliaji kama yeye ili akatulize eneo la katikati ambalo anaamini huwa linakosa utulivu.Saliboko...

FEI AWATAKA WATANZANIA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA

0
FEISAL Salum, kiungo wa Yanga amesema kuwa anaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Corona kwa kufanya mazoezi binafsi.Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamishwa na...

KAKOLANYA ACHEKELEA MAISHA NDANI YA SIMBA

0
BENO Kakolanya, mlinda mlango namba mbili wa Simba amesema kuwa anafurahia maisha anayoishi ndani ya kikosi hicho cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania...

HILI HAPA KOSI LENYEWE LA WANA KOMA KUMWANYA, MBEYA CITY

0
Kikosi cha Mbeya City kile chenyewe cha mwanzo kabisa msimu wa 2013/14 kilichokuwa kinajiita wana Koma Kumwanya: David Burhan (Marehemu), John Kabanda, Hassan Mwasapili,...