KAGERA SUGAR WAWAOMBA MASHABIKI KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA
MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa ni muhimu kwa wachezaji na mashabiki kuendelea kuchukua tahadhari juu ya Virusi vya Corona.Akizungumza na...
ALIYEWATUNGUA SIMBA NA YANGA AJICHIMBIA BUNDA KWA SASA
SIXTUS Sabilo, mshambuliaji namba moja wa Polisi Tanzania amesema kuwa kwa sasa anaendelea kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona akiwa zake nyumbani Bunda.Akizungumza na...
MTIBWA SUGAR YAWATUMA WACHEZAJI KUWA MABALOZI KWA JAMII
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa umewatuma wachezaji wao wa Mtibwa Sugar kuwa mabalozi kwenye jamii kuhusu janga la Virusi vya Corona.Akizungumza na Saleh...
SIMBA: YANGA WAISHUKURU GSM BILA WAO KUTUFUNGA INGEKUWA NDOTO
UONGOZI wa Simba umesema kuwa uongozi wa Yanga ni lazima waushukuru uwepo wa GSM ndani yao kwani isingekuwa hivyo hata kuwachapa kwenye mchezo wao...
YANGA WABISHI KWELI, WAIKOMALIA SIMBA KWA CHAMA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umefikia hatua nzuri ya kuipata saini ya nyota wa Simba, Clatous Chama ili akacheze ndani ya Yanga msimu ujao.Chama...
ISHU YA NDEMLA KWENDA YANGA: KOCHA SVEN AMALIZA UBISHI
HUENDA mashabiki wa Yanga wakasonya mitaani, huku wenzao wa Simba wakachekelea baada ya Kocha Sven Vanderbroeck kumaliza ubishi juu ya kiungo fundi wa mpira...
LIVERPOOL YAHAHA KUMPATA MBADALA WA MANE IWAPO ATASEPA
KYLIAN Mbappe nyota anayekipiga ndani ya PSG kwa sasa amewekwa kwenye mpango wa kutua ndani ya Liverpool iwapo wataikosa saini ya nyota wao Sadio...
KISA CHAMA, SIMBA KUISHTAKI YANGA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa upo kwenye mpango wa kuwashtaki Yanga kutokana na suala lao la kutaka kuipata saini ya nyota wao Clataos Chama...
MABOSI WA YANGA WAPANIA KUWA NA KIKOSI MATATA AFRIKA MASHARIKI NA KATI
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mpango mkubwa wa kuboresha kikosi chao kwa sasa ni mkubwa na wana imani ya kuwa na kikosi bora mwakani.Kwa...