RAMSEY AMPA TANO CR 7
SUPASTAA wa Juventus, Cristiano Ronaldo, amefagiliwa na mchezaji mwenzake, Aaron Ramsey kwa uanamichezo wake, ubora na kufuata maadili ya kazi yake.Ronaldo alikuwa akifurahia msimu...
VIFUAVIWILI:WATANIELEWA TU SIKU MOJA LICHA YA KUNIBEZA KWA SASA
BRUNO Tarimo ‘Vifuaviwili’ bondia wa ngumi za kulipwa ambaye ni bingwa wa International Super Feather Weight alioupata nchini Serbia kwa pointi mbele ya bondia...
KAKOLANYA AAMBIWA ASEPE NDANI YA SIMBA KUPATA CHANGAMOTO MPYA
GOLIKIPA wa zamani wa timu ya taifa, Taifa Stars, Ivo Mapunda, amemshauri kipa wa Simba, Beno Kakolanya kwenda kutafuta changamoto nje ya nchi ili...
HOFU YA TAMBWE IPO KWA MEDDIE KAGERE
ALIYEWAHI kuwa mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, raia wa Burundi, Amissi Tambwe amesema kuwa ana hofu kubwa ya rekodi yake ya kuwa mfungaji bora...
SURE BOY SASA MAMBO FRESH YANGA WASHINDWE WENYEWE TU
ABDULKARIM Amin 'Popat' Mtendaji Mkuu wa Azam FC amesema kuwa iwapo Yanga wanahitaji huduma ya mchezaji wao basi wafuate utaratibu.Kauli hiyo inatoa mwanga kwa...
EYMAEL AWAWEKA CHINI YA ULINZI MASTAA YANGA
YANGA kumbe haitaki mchezo kwa wachezaji wake kwani, imebainika kuwa licha ya Kocha Luc Eymael kuwapa programu ya mazoezi, lakini pia amewaweka watu wa...
OKWI AWAPIGIA GOTI MSIMBAZI
ZIMEBAKI saa zisizozidi 72 kabla ya kumalizika kwa siku 30 za kusimamishwa shughuli zinazohusu mikusanyiko zilizotangazwa na serikali katika kukabiliana na janga na ugonjwa...
YANGA YA GSM WAIFUATA SAINI YA ‘KIBERENGE’ CHA AS VITA YA CONGO
KATIKA kuhakikisha wanafanikiwa kunasa saini ya winga wa As Vita, Tuisila Kisinda, uongozi wa Yanga unatarajia kutuma mwakilishi kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...
KAGERA WATIA NGUMU MAXIME KUTUA YANGA
BAADA ya kuwapo kwa tetesi za Yanga kuendelea kumwania Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime, uongozi wa timu hiyo umesema kocha wake haendi...
HAWA IHEFU WATOE DARASA KWA WAKONGWE NAMNA YA KUJIJENGA NA KUBORESHA MIUNDOMBINU
MIONGONI mwa timu ambazo zinajipanga kwa upande wa miundombinu kila iitwapo leo licha ya kutokuwa na jina kubwa ni pamoja na Ihefu SportsClub.Timu hii...