KMC WAVUNJA KAMBI, WACHEZAJI WANAFUTILIWA KWENYE MITANDAO
UONGOZI wa KMC umesema kuwa unawafuatilia wachezaji wao namna wanavyofanya mazoezi kupitia makundi ya WhatsApp jambo ambalo linawafanya wazidi kufanya mazoezi zaidi.Ligi Kuu Bara...
MASAU BWIRE: TUSISAHAU KUOMBA ILI HALI IWE SHWARI
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa ni wakati wa kila mtanzania kuomba kwa Mungu ili janga la Corona lipite na maisha...
UONGOZI WA SIMBA WAHITAJI KUONGEZA MASHINE MBILI ZA KAZI, MAJINA YAO HAYA HAPA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa mpango mkubwa kwenye kuboresha kikosi chao kwa sasa ni sehemu ya mshambuliaji ili kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho.Wakati Ligi...
YANGA WAMEAMUA, SASA KUMVUTIA KASI KIUNGO HUYU MATATA ANAYEKIPIGA TIMU YA TAIFA
IMEELEZWA kuwa Klabu ya Yanga inaisaka saini ya nyota wa Kariobangi Sharks FC Yidah Sven Yidah ili aongeze nguvu kwenye kikosi hicho.Nyota huyo ambaye...
BRUNO TARIMO AJIPA UBALOZI NCHINI SERBIA
BRUNO Tarimo ‘Vifuaviwili’ bondia wa ngumi za kulipwa ambaye ni bingwa wa International Super Feather Weight alioupata nchini Serbia kwa pointi mbele ya bondia...
YANGA KUJA KIVINGINE WAKATI WA USAJILI, MFUMO MPYA KUTUMIKA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa utatumia mfumo mpya wa kufanya usajili wa wachezaji wao ili kupata wachezaji watakaoleta ushindani ndani ya kikosi chao msimu...
NYOTA KANE ANAWINDWA NA MANCHESTER UNITED
MSHAMBULIAJI wa Spurs, Harry Kane amesema kuwa anahitaji kupata changamoto mpya kwa sasa nje ya timu yake hiyo anayoitumikia.Spurs imekuwa kwenye mvutano mkubwa na...
KIUNGO POLISI TANZANIA ATUMA UJUMBE KWA WATANZANIA WOTE KUOMBEANA DUA
BARAKA Majogoro, kiungo wa Polisi Tanzania amesema kuwa ni muhimu kwa kila mmoja kwa sasa kuomba dua wakati huu wa kipindi cha maambukizi ya...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
HIVI NDIVYO SVEN ANAVYOWAZA KUHUSU UBINGWA SIMBA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa sasa hesabu zake ni kuona timu inamaliza mechi zake ndipo itwae ubingwa kuliko kusubiri ubingwa...