HUYU NDIYE MCHEZAJI WA KWANZA KUFUTA MACHOZI YA KIPA WA LIVERPOOL
LICHA ya kuwa na sifa ya kuwa na spidi ndani ya Uwanja huku mabosi wake Real Madrid wakiwa hawana mpango naye mkubwa ila ni...
KOCHA STARS ATAJA SABABU YA MAKIPA KUWA NA VIWANGO VYA KUPWA NA KUJAA
ETTIENE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa kinachowakwamisha makipa wengi kushindwa kuwa kwenye ubora wao ni kutokana na makocha...
HUYU NI YULE BEKI TEGEMEO WA GOR MAHIA SASA INAELEZWA SIMBA WANAISAKA SAINI YAKE
JOASH Abong'o Onyango beki mwenye muonekano wa kipekee ndani ya uwanja inaelezwa kuwa ameingia kwenye hesabu za mabosi wa Simba ambao wanahitaji kuboresha kikosi...
YANGA KUCHOMOA MITAMBO MIWILI YA KAZI KUTOKA NAMUNGO
RELIANTS Lusajo, mtambo wa mabao ndani ya Yanga iwapo dili lake la kutua ndani ya kikosi cha Yanga litajibu, basi atashuka na nyota pacha...
BINGWA WA LIGI KUU BARA MSIMU WA 2019/20 ATAPATIKANA KWA MTINDO HUU
MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Almas Kasongo amesema kuwa hatma ya bingwa wa ligi itaamuliwa uwanjani na si vinginevyo.Kwa sasa...
KOCHA MKUU WA SIMBA AUKUBALI MUZIKI WA KIUNGO HUYU
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba raia wa Ubelgiji, rekodi zinaonyesha kuwa anaukubali ‘muziki’ wa kiungo wa Zambia, Clatous Chama, hivyo kwa timu inayowinda...
THAMANI YA NYOTA WA PSG SOKONI YASHUKA GHAFLA
THAMANI ya mshambuliaji anayekipiga ndani ya Klabu ya PSG, Kylian ambappe imeripotiwa kuporomoka kwa kasi kwenye soko la wachezaji kutokana na janga la maambukizi...
HAWA HAPA LICHA YA KUPEWA KITAMBAA CHA UNAHODHA WANACHEKA NA NYAVU PIA
NDANI ya Ligi Kuu Bara ni manahodha wawili wazawa wenye mabao zaidi ya 10 kwa msimu wa 2019/20.Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamishwa...
WAGENI HAWA NI VINARA KWA KUTUPIA KWENYE TIMU ZAO NA WANA HAT TRICK PIA
KINARA wa utupiaji ndani ya Azam FC ni Obrey Chirwa raia wa Zambia ametupia mabao nane msimu huu ambapo aliwapiga hat trick Alliance FC...