YANGA YATAJA SABABU YA KUSHINDA LEO MBELE YA MBAO FC

0
LEO Uwanja wa Taifa Yanga itaikaribisha Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa majira ya saa 1:00 usiku.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa...

KOCHA ARSENAL AWASIFU WACHEZAJI WAKE ASEMA HAWAJAMUANGUSHA

0
ARSENAL imetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la FA, England baada ya kushinda kwa mabao 2-0 mbele ya Portsmouth.Mabao ya Arsenal iliyo chini...

DAVI DE GEA ATAFUTIWA MBADALA WAKE

0
DAVID De Gea mlinda mlango wa Manchester United amekuwa kwenye wakati mgumu msimu huu kutokana na kufanya makosa mengi ya kiufundi jambo linalohatalisha nafasi...

HESABU ZA SIMBA KWA AZAM FC ZIPO NAMNA HII

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa unazitaka pointi tatu za Azam FC ilikuendelea mbio zake za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara.Simba inaongoza ligi ikiwa...

SAMATA AMEWAVURUGA WAZUNGU HUKO MPAKA GUARDIOLA

0
PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester Ciy amesema kuwa wachezaji wake wamekuwa na moyo wa kutafuta mafanikio kila wawapo ndani ya uwanja.Guardiola ameshinda taji...

MKAKATI WA AZAM FC MBELE YA MBAO FC NI NOMA

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa upo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa leo Uwanja wa Taifa dhidi ya Mbao FC. Akizungumza na...

RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU BARA HII HAPA

0
HII hapa ratiba za mechi za wiki hii ndani ya Ligi Kuu Bara ikiwa ni zmunguko wa pili:-

MAANDALIZI YA TIMU YA TAIFA YAAANZE MAPEMA ILI KUFUNGUA NJIA YA USHINDI

0
FEBRUARI ndo imeshameguka kwa kasi kisha mwezi Machi upo kwa hewa ndipo tutaukaribisha mwezi Aprili ambao unatarajiwa kuwa na tukio kubwa kwenye ulimwengu wa...

TULITENGE SOKA LETU NA SIASA NI HATARI KWA AFYA YA SOKA LETU

0
Kitu gani kinawatesa Singida United? Hilo ni swali gumu au kitendawili kigumu kukitegua kwa watu.Kinaweza kikawa kitendawili kigumu kukitegua kwa sababu moja tu sisi...

KUONA MIUJUZI YA MORRISON NA LUIS NI BUKU SABA TU

0
KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi unaotarajiwa kucheza Machi 8, 2020 Uwanja wa Taifa Shirikisho la Soka la Mpira Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya...